Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao waliokamatwa ni vijana wetu wa kinondoni shamba wengi ni mateja kwakwel wamekua wakija na vyuma vikubwa kweli week mbili sana na wamefanya biashara kubwa kwa kipind hicho na wanunuaj wa scraperz leo wamekamatwa baadhiJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili (2) waliokuwa wanajaribu kuharibu kwa kukata baadhi ya vyuma vya ngazi moja ya nguzo namba P9 ya Daraja la Tanzanite lililopo maeneo ya Salender, Ilala.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Muliro J. Muliro amesema watuhumiwa hao ambao majina yao (yamehifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi) walikamatwa tarehe 02/04/2022 saa 10 alfajiri wakiwa wanajaribu kufungua vyuma vilivyopo kwenye nguzo ijulikanayo kama P9 ambayo ipo kwenye daraja hilo. Wanahojiwa kwa kina na watafikishwa kwenye vyombo vya kisheria kwa hatua zaidi.
Pia Jeshi la Polisi limewakamata watu wengine kumi (10) waliokutwa chini ya Daraja huku wakidai wanaokota vyuma chakavu kwa ajili ya biashara ya vyuma. Watuhumiwa hao pia wanahojiwa kwa kina ili kubaini malengo yao kwa ujumla chini ya Daraja hilo yalikuwa ni nini na kuona kama wanamahusiano na wale waliokuwa wanajaibu kuiharibu baadhi ya miundombinu ya nguzo ya daraja hilo.
Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kuwa halitamvumia mtu au kikundi chochote kinachojihusisha kwa namna yoyote ile kujaribu kuharibu miundombinu ambayo imejengwa kwa manufaa ya umma, Ulinzi katika eneo hilo na maeneo mengine umeeendelea kuimarishwa na atakayejaribu kuiharibu atakamatwa na mifumo ya kisheria ya kishughulika nae itazingatiwa.
Hapo nyuma kwa Dr. Mvungi karibia na Osha kuna biashara ya vyuma chakavu inaendelea pale itakua ndio wanawapelekea.Hao waliokamatwa ni vijana wetu wa kinondoni shamba wengi ni mateja kwakwel wamekua wakija na vyuma vikubwa kweli week mbili sana na wamefanya biashara kubwa kwa kipind hicho na wanunuaj wa scraperz leo wamekamatwa baadhi
Wanachomoa vile vya pembeni ya ujenzi..njaa kaliWajinga kama hao ndio maana China wananyonga! Sasa si kuhatarisha maisha ya watu kwa njaa
Vijana acheni uvivu.
Tanzania ni nchi yenye njaa isiyosemwaJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili (2) waliokuwa wanajaribu kuharibu kwa kukata baadhi ya vyuma vya ngazi moja ya nguzo namba P9 ya Daraja la Tanzanite lililopo maeneo ya Salender, Ilala.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Muliro J. Muliro amesema watuhumiwa hao ambao majina yao (yamehifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi) walikamatwa tarehe 02/04/2022 saa 10 alfajiri wakiwa wanajaribu kufungua vyuma vilivyopo kwenye nguzo ijulikanayo kama P9 ambayo ipo kwenye daraja hilo. Wanahojiwa kwa kina na watafikishwa kwenye vyombo vya kisheria kwa hatua zaidi.
Pia Jeshi la Polisi limewakamata watu wengine kumi (10) waliokutwa chini ya Daraja huku wakidai wanaokota vyuma chakavu kwa ajili ya biashara ya vyuma. Watuhumiwa hao pia wanahojiwa kwa kina ili kubaini malengo yao kwa ujumla chini ya Daraja hilo yalikuwa ni nini na kuona kama wanamahusiano na wale waliokuwa wanajaibu kuiharibu baadhi ya miundombinu ya nguzo ya daraja hilo.
Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kuwa halitamvumia mtu au kikundi chochote kinachojihusisha kwa namna yoyote ile kujaribu kuharibu miundombinu ambayo imejengwa kwa manufaa ya umma, Ulinzi katika eneo hilo na maeneo mengine umeeendelea kuimarishwa na atakayejaribu kuiharibu atakamatwa na mifumo ya kisheria ya kishughulika nae itazingatiwa.
viongozi watasema jpm ndo chanzo bila yeye watu wasingeiba
Waachiwe ila wakatwe viganja vya mikono wasiweze kufanya uharibufu kama huo tena sababu ukimfunga ipo siku Rais anaweza katoa msamaha alafu wakarudi mtaani wakaendelea na ujinga wao.Hao inabidi waende jela kifunga Cha maisha , bila kesi kusikiliza
wapelekee Sembe mahubusuHao waliokamatwa ni vijana wetu wa kinondoni shamba wengi ni mateja kwakwel wamekua wakija na vyuma vikubwa kweli week mbili sana na wamefanya biashara kubwa kwa kipind hicho na wanunuaj wa scraperz leo wamekamatwa baadhi
Inatakiwa polisi waanzishe Doria kwenye madaraja yote muhimu,Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili (2) waliokuwa wanajaribu kuharibu kwa kukata baadhi ya vyuma vya ngazi moja ya nguzo namba P9 ya Daraja la Tanzanite lililopo maeneo ya Salender, Ilala.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Muliro J. Muliro amesema watuhumiwa hao ambao majina yao (yamehifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi) walikamatwa tarehe 02/04/2022 saa 10 alfajiri wakiwa wanajaribu kufungua vyuma vilivyopo kwenye nguzo ijulikanayo kama P9 ambayo ipo kwenye daraja hilo. Wanahojiwa kwa kina na watafikishwa kwenye vyombo vya kisheria kwa hatua zaidi.
Pia Jeshi la Polisi limewakamata watu wengine kumi (10) waliokutwa chini ya Daraja huku wakidai wanaokota vyuma chakavu kwa ajili ya biashara ya vyuma. Watuhumiwa hao pia wanahojiwa kwa kina ili kubaini malengo yao kwa ujumla chini ya Daraja hilo yalikuwa ni nini na kuona kama wanamahusiano na wale waliokuwa wanajaibu kuiharibu baadhi ya miundombinu ya nguzo ya daraja hilo.
Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kuwa halitamvumia mtu au kikundi chochote kinachojihusisha kwa namna yoyote ile kujaribu kuharibu miundombinu ambayo imejengwa kwa manufaa ya umma, Ulinzi katika eneo hilo na maeneo mengine umeeendelea kuimarishwa na atakayejaribu kuiharibu atakamatwa na mifumo ya kisheria ya kishughulika nae itazingatiwa.
Unga wa ngano, sukari na cooking oil vinaleta shidaVyuma vimekaza mpaka wanalegeza vyuma vya daraja Tanzanite daaaa. This is bongo!