Dar: Wakamatwa wakifungua vyuma vya nguzo Daraja la TANZANITE

Hao waliokamatwa ni vijana wetu wa kinondoni shamba wengi ni mateja kwakwel wamekua wakija na vyuma vikubwa kweli week mbili sana na wamefanya biashara kubwa kwa kipind hicho na wanunuaj wa scraperz leo wamekamatwa baadhi
 
Hali ya uchumi ni mbaya sana wananchi wanakimbilia miundo mbinu.
 
Hao waliokamatwa ni vijana wetu wa kinondoni shamba wengi ni mateja kwakwel wamekua wakija na vyuma vikubwa kweli week mbili sana na wamefanya biashara kubwa kwa kipind hicho na wanunuaj wa scraperz leo wamekamatwa baadhi
Hapo nyuma kwa Dr. Mvungi karibia na Osha kuna biashara ya vyuma chakavu inaendelea pale itakua ndio wanawapelekea.
 
Tanzania ni nchi yenye njaa isiyosemwa
 
Wanakula kwa urefu wa kamba..ni agizo la mkulu.

#MaendeleoHayanaChama
 
viongozi watasema jpm ndo chanzo bila yeye watu wasingeiba
 
Hii biashara ya vyuma chakavu imechangia sana uharibifu wa miundombinu.
 
hakuna kitu hatari kama kuongoza wajinga..

Moja ya hatari ambayo kama nchi CCM wameisababisha ni kuwanyima watu elimu sahihi..
 
Inawezekana vijana wa watu ni mafundi waliotoka site wakapitia hapo chini ya daraja kujipumzisha na kushangaa shangaa uzuri wa daraja huku mfukoni wakiwa na vifaa vyao vya kazi.........who knows......kwa jinsi jeshi letu la polisi linavyofanya kazi kwa mihemko na sifa........
 
Hao sbb itakuwa vita vya Ukraine vs Russia, ni hujuma ya hiyo vita
 
Polisi wanatafuta umaarufu tu nani anaweza kufungua chuma cha pillar ya concrete? Issue iko hivi, mkandarasi anafungua lile daraja la muda la chuma. Katika kufungua kuna vyuma huwa wanavidondosha baharini, hawavihitaji. Hawa jamaa ndio wanasumbiri maji yakiondoka wanatembea mpaka maeneo hayo na kuokota hivyo vyuma. Ni scrapper ambazo mkandarasi katupa kwenye maji wakati anafungua daraja la muda. In other words hawa vijana wanasaidia kusafisha bahari.
 
Hao inabidi waende jela kifunga Cha maisha , bila kesi kusikiliza
Waachiwe ila wakatwe viganja vya mikono wasiweze kufanya uharibufu kama huo tena sababu ukimfunga ipo siku Rais anaweza katoa msamaha alafu wakarudi mtaani wakaendelea na ujinga wao.
 
Hao waliokamatwa ni vijana wetu wa kinondoni shamba wengi ni mateja kwakwel wamekua wakija na vyuma vikubwa kweli week mbili sana na wamefanya biashara kubwa kwa kipind hicho na wanunuaj wa scraperz leo wamekamatwa baadhi
wapelekee Sembe mahubusu
 
Inatakiwa polisi waanzishe Doria kwenye madaraja yote muhimu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…