Dar: Wakazi wa eneo la Kunduchi Mtongani ambao nyumba zao zimepitiwa na ujiuji wa volcano ya tope, watakiwa kuhama

Duh!!!!,Nitabaki mkoani,Dar endeleeni nayo tu.
 
Siyo laxima mleta post aweke picha,mbo sakata la tope kunduchi limetanfazwa sana,
Tusione aibu juwaleta na mabebelu,sisi hatuna uwezo
Tunaogopa kuwaleta mabeberu watasema kuna tanzanite
 
Nikichoka nilipoona wanatumia mikono na chupa ya hill water kuchukua sample
 

Waitwe mabeberu au ma boerz ?
 
Paundwe jopo la wasomi wakae semina ili kupata suluhisho
Semina ili wake na mikakati! Ila wakifanya utafiti huenda tope hilo likafaa kuchanganya na simenti kuimarisha reli ya SGR maana tope liko pyuwa halina makandokando.
 
Dah! Kuna mafuta mengi hapo chini! Kweli hii nchi ni tajiri.
 
Ni wewe kweli?
 
Huu ni utapeli, yaani mtu aachenkiwanja cha mabilioni kunduchi kisa ya tope? Hilo tope ni la muda tu, litaacha, kama kuhama wahame kwa muda tu, lakini kamwe wasikubali kubadilishana viwanja vyao kwa viwanja vingine huko maporini
 
Mafuta yako kivipi wakati unaweza ukachimba shimo kwako halafu yakawa yanaflow kutoka kiwanja cha mtu mwingine? Hata hewa iliyojuu utasema ni yako wakati inaflow kutoka kwenye pori la mtu mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…