Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

🙏
 
🙏
 
Mkuu kwa mazingira na maamuzi kama haya uwekezaji unakuwa mgumu ndani ya nchi yetu
 
Unachopaswa kuelewa ni kwa kiwango gani safety precautions zinasaidia kupunguza uwezekano wa kutokea ajali na kiwango cha madhara kukitokea ajali..kwa hivyo huhitaji kutegemea vitu hivyo wakati wote, pili hao watu wasiojali standards za malori kutumiwa kubeba mafuta, TBS, TRA nk wewe unadhani walioko EWURA ni tofauti na hao wa TBS unajidanganya..tatu siku ya kutokea ajali haijulikani na hivyo chukua tahadhari siku zote, ndio maana zipo sheria..comply!
 
Siwamesogezewa huduma karibu, mie naenda kujenga msikiti nione mtu ananikoromea
 
Elfu kumi unapata lita mbili na nusu, sasa hivi magari yanaendeshwa kama koroboi, petrol iuzwe kwenye maduka ya rejareja na grocery, kha!
 
Huyo ni Jerry silaa ni mchaga siyo slaa mmburu.
 
Rushwa za wakubwa unadhani zinatolewa kwenye bahasha kama za watendaji wa vijiji?
 
CCM Ni Tatizo Tanzania Kama Hutaki Unaacha
 
Kwa hiyo pointi yako ni ipi hapa. Hivyo viwanda navijua vizuri kabisa.
UFI ilikuwa inatengeneza majembe ya mikono na plau za kukokotwa na wanyama hasa ngombe.
ZZK hali kadhalika
Swala ilikuwa inaunganisah baiskeli za Swala.
Nyumbu magari ya jeshi yanayotembea ambayo hata mwanahisa wake mkuu, Serikali, aliyakataa kuyanunua.

Mbali na Nyumbu viwanda vyote hivyo vilikufa wakati Nyerere bado ni Rais. Unabisha?
Hata kiwanda cha kutengeneza mikate ya siha pale Tazara nakijua. Nacho kilikufa wakati akiwa bado ni Rais. Sema lingine. Mlipompa Bakhresa kiwanda kile angali kinavyoendelea pamoja na kuwa na viwanda vingine vingine vinavyotoa ushandani kwenye soko la mikate.

Tatizo ni CCM. Labda wajirekebishe. Wanayo nafasi ya kufanya hivyo mbona.
 
Watanzania mna laana Nyerere alipooona Yatamtokea ya Dozer ALING'ATUKA hakuona haja ya kuanza kuwatumbua.
Walioua hivyo viwanda ni Babu, Mjomba. Baba na kaka zetu walioaminiwa na kupewa nyadhifa mbalimbali.
 
Huku zenji kituo cha mafuta kimejengwa chini ya shule ya msingi na sekondari na kimeachwa kinafanya kazi

Sijui wametumia sheria ipi kukipa kibali kile kituo ila kiuhalisia hakitakiwi kiwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…