Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

Si huyu waziri ansyesema asili yake ni tajiri na anafikiri eti kuna wanasiasa wanaona fahari kujibainisha asili yao ni maskini lakini sio yeye. Eti baba yake alikua tajiri baba yake alikua rubani wa ndege.
 
Sio kwamba ukiwa JamiiForums kazi kubwa inakuwa kuonyesha ujinga wako kwa mapana zaidi au?
Ndio utajua hujui, mwambie akibomoe hicho kituo kama yeue mwanaume, wizara yake ndio imempa vibali vyote kujenga kituo cha mafuta, na kama anataka kuupima uwaziri wake dhidi ya maslahi ya nchi, azuie na vituo vingine nchi nzima
 
Vituo vya mafuta vingekuwa vinalipa Kodi kubwa, tungeona kwenye Ripoti.

Kutoa risiti tu za EFD, waligomea Hadi Magu alipotishia kuwafutia Leseni.

Mtaondoa tu uhuni wenu wa kuweka vituo katika makazi Kwa kivuli Cha Kodi ya mchongo.
 
Yeye alipewa huduma na ofisi za waziri jerry, kama kukiuka sheria basi ni wizara ya jerry silaa, yeye akiwa namba moja, mwananchi ni mpokea huduma tu
Acha kujitoa ufahamu mtu corrupt hashindwi kukwepa kodi, hao ndio wanasababisha mawaziri wanatumbuliwa,
 
Vituo vya mafuta vingekuwa vinalipa Kodi kubwa, tungeona kwenye Ripoti.

Kutoa risiti tu za EFD, waligomea Hadi Magu alipotishia kuwafutia Leseni.

Mtaondoa tu uhuni wenu wa kuweka vituo katika makazi Kwa kivuli Cha Kodi ya mchongo.
Magu alikibomoa mwanza kituo cha mansoor, na nchi ikalipa fidia na kimejengwa tena
 
Magu alikibomoa mwanza kituo cha mansoor, na nchi ikalipa fidia na kimejengwa tena
Msimsumbue Slaa, Yuko katika HAKI anafuata SHERIA.

Huyo Mansoor tukimsaka kwenye walipakodi wakubwa nchini yumo?

Haikubaliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…