Haijalishi kuna vituo vingapi. Kodi ya serikali ni ile ile kwani matumizi ya mafuta kwa nchi hayaongezeki kwa kuongeza vituo.Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Kimsingi, Jerry Silaa hatoshi kwenye hiyo nafasi ya Waziri wa Ardhi, yaani hatoshi kabisa.Kuna ka "ujinga" kanapita mitandaoni eti kuna watu walijaribu kumuhonga waziri Jerry Silaa. Takukuru wapo, na namba zao anazo, na huwa wanaweka mitego kunasa watoa rushwa.
Waziri ni kiongozi wa ngazi ya kitaifa, ana namba ya boss wa takukuru, kwa nini hakuweka mtego?
Walijadiliana halafu hazikutosha akaona awahi kuwalipua? Aliwaomba hizo hela wakasema hawana akaona awawahi?
Waziri analalamika, wanajimbo wake wafanyeje? Waziri yuko karibu na kila taasisi?
Huyu ataongoza vita ya rushwa wizara ya ardhi wakati hajui sehemu ya kuripoti rushwa?
Useless,aliomba akanyimwa, mawaziri vijana, acheni tamaa, Samia,kazi kwako.
Naona kaitisha umiliki wa ardhi wa vituo vya mafuta nchi nzima, maokoto yake sio mchezo, kamishna wa ardhi atakayepeleka maokoto mengi ndiye atadumu. Anadhani watampa hela za bure (rushwa) ili asivunje vituo vyao
Ajue tu, kodi ya mafuta ndio injini ya bajeti, na mafuta yameangusha wanasiasa wa mashariki ya kati, kabla hajaangusha serikali ya samia, ataanguka yeye. Kama kajipanganga kubomoa vituo vya mafuta nchi nzima, nchi nzima itambomoa yeye.
Mkuu kama ulifuatilia mahojiano ya mkuu wa mkoa ndugu Chalamila na ndugu Tibaijuka, mkuu wa mkoa alibainisha kuwa mwekezaji ana vibali vyote na ni halali.Nchi yetu ni muhimu kuliko yeyote.Mwekezaji asiefuata taratibu,sheria,kanuni na mila Za nchi hatufai..
Ifike wakati kila mmoja wetu awajibike Kwa mujibu wa Matakwa ya Katiba,utaratibu na sheria au miongozo ya nchi..Juzi tulikuwa na Mh Lukuvi,Leo tuna Slaa,Yamkini kesho tukawa na Mwambukusi..Au Vivek..
Upindishaji wa mambo na shortcuts gharama yake ni kubwa.Yamkini Una vinasaba na utawala A,B,C.. ipo Siku utakuja utawala D ulio kinyume na urafiki/kujuana/Rushwa/ufisadi..ikiwa uliishi kinyume au kufanya biashara Kwa kupendelewa au kufumbiwa macho lazima kuwe na vilio na kisaga meno..
Sheria ni mita 200Kuna SHERIA wapi kituo kiwepo sio kujenga tu kisa mil 500
Mkuu ameyaweka mafuta ya kumchemsha mwenyewe kikaangoni, ni suala la muda tu ajikaange! Tusubiri tu, yetu macho!Kuna ka "ujinga" kanapita mitandaoni eti kuna watu walijaribu kumuhonga waziri Jerry Silaa. Takukuru wapo, na namba zao anazo, na huwa wanaweka mitego kunasa watoa rushwa.
Waziri ni kiongozi wa ngazi ya kitaifa, ana namba ya boss wa takukuru, kwa nini hakuweka mtego?
Walijadiliana halafu hazikutosha akaona awahi kuwalipua? Aliwaomba hizo hela wakasema hawana akaona awawahi?
Waziri analalamika, wanajimbo wake wafanyeje? Waziri yuko karibu na kila taasisi?
Huyu ataongoza vita ya rushwa wizara ya ardhi wakati hajui sehemu ya kuripoti rushwa?
Useless,aliomba akanyimwa, mawaziri vijana, acheni tamaa, Samia,kazi kwako.
Naona kaitisha umiliki wa ardhi wa vituo vya mafuta nchi nzima, maokoto yake sio mchezo, kamishna wa ardhi atakayepeleka maokoto mengi ndiye atadumu. Anadhani watampa hela za bure (rushwa) ili asivunje vituo vyao
Ajue tu, kodi ya mafuta ndio injini ya bajeti, na mafuta yameangusha wanasiasa wa mashariki ya kati, kabla hajaangusha serikali ya samia, ataanguka yeye. Kama kajipanganga kubomoa vituo vya mafuta nchi nzima, nchi nzima itambomoa yeye.
Mumeo hajamboWewe bila shaka unatumia masaburi ndo maana unaharisha tu.
Covid inakwepa Kodi?Tena hawa wakwepa kodi wabaya sana na ndiyo waliomuua Dkt Magu
Watu wanapenda sana kutetea uvunjaji wa sheria kudhulumu haki za wengine. Huu ni mtihani mkubwa sana kwenye hili taifa letu.Kuna SHERIA wapi kituo kiwepo sio kujenga tu kisa mil 500
Kwa awamu hii lolote linawezekana. Unaweza kuta imejengwa kisha vibali vinatafutwa baada ya ujenziKwahiyo aliyojenga amefanya hivyo bila vibali au?
Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Mkuu tuwe wa kweli, kuna maeneo mangapi kwenye kila mtaa yaliyotengwa mahdusi kwa ajili ya vituo vya mafuta na mahitaji mengine muhimu ya jamii?Tatizo ni kituo cha mafuta sio genge ni lazima vijengwe kwa utaratibu bila hivyo tutaishia kuunguza mitaa mizima na mali za watu. Hiwezi kujenga vituo vya mafuta yanayoweza kulipuka kiholela holela eti kwasababu ya kodi. Kwani wananchi na maisha yao sio muhimu. Maisha ya watu sio ya kuchezea na utamaduni wa rushwa ndiyo umetufikisha hapa.
Hizi akili za Chipukizi zimekuwa tatizo hapa jukwaani!Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Thibitisha, unatoa hoja kama utumbo mkubwa unapitia kichwaniHizi akili za Chipukizi zimekuwa tatizo hapa jukwaani!
Ni sheria ipi inayoruhusu kituo kujengwa kwenye makazi ya watu?
Hiyo Petrol station ipo hapo kwa rushwa kama ambavyo wametaka kumuonga Waziri.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Mwase alifanyaninin na wapi?hebu funguka mkuuHana ubavu wa kukataa hizo, angeanza kukataa zile za Mwase wa STAMICO. Wanasiasa si wakuwaamini mzee
Rushwa ndio inafanya wapate vibali vinavyokinzana na sheria.Kwahiyo aliyojenga amefanya hivyo bila vibali au?
Wewe sindie jamaa yako? KamuulizeMwase alifanyaninin na wapi?hebu funguka mkuu
Hahah ina maana watu wa tandale huko ni mazoba,maana wamejaziwa vituo mpaka vibarazaniHizo sheria zinazingatiwa mikocheni tu? Uswahilini kuna vituo kibao kwenye makazi ya watu wilaya zote za Dar es salaam mbona hajashupalia huko?
Why mikocheni? Only.Mmm au alitaka dau kubwa zaidi akamwambia mimi.nina milioni.300 tu akagoma