Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

Waziri Jerry Slaa rudisha heshima ya Wamburu
Yule Slaa Dr mihogo aliharibu heshima iliyo asisiwa na Mburu Bw SARAWATI aliye simamia haki mpaka Julius Kambarage Nyerere alimbania uhuru wake

Jerry Slaa shikilia hapohapo!!!

Sokoinemdogo wewe Kwa Sasa
Mungu akulinde
Wacha weee

Ova
 
Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.

Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
We nenda kachukue ulikoachia akili yako. Nchi hii ina sheria lazima zifuatwe, unasikia we bwege?
 
Ndio utajua hujui, mwambie akibomoe hicho kituo kama yeue mwanaume, wizara yake ndio imempa vibali vyote kujenga kituo cha mafuta, na kama anataka kuupima uwaziri wake dhidi ya maslahi ya nchi, azuie na vituo vingine nchi nzima
Kumbe ulitakiwa uwe Mirembe
 
Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.

Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Ndiyo thinking yako imefikia mwisho? Kile kinachobaki baada ya kutoa elimu ya kukariri darasani ndiyo uhalisia wako, sasa hapa umetumia vyote.
 
Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.

Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Ndugu watanzania wenzangu tumuunge mkono mawaziri km Jerry Silaa, hawa ndio viongozi tunaowahitaji, alitakiwa awe naibu waziri mkuu maana huyu Dotto simwelewi yuko km mwinjilisti.
 
Hili swali anauliza mtu anayejiita Chinembe.... Hiii dunia hii ina maswahibu. Niambie chinembe.... Hakijambo? Ulileta hoja ya kipumbavu watu wameonesha upumbavu wako. Umeishiwa hoja.... Nyie ni hasara sana kwa taifa.
Mumeo hajambo
 
Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.

Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Umeandika kwa hasira. Havina uhusiano.
 
Moja kati ya sababu za mkoa wa kagera kutoendelea, ni tabia ya kijicho na wivu. Omba uwe na jirani yoyoye yule lakini asiwe muhaya. Na ikiwa ni jirani yako, usifanye maendeleo makubwa. Lazima ataanza kuzua visa na mikasa, atakufungulia kesi mahakamani, kwa wenyeviti wa mitaa, kwa mkuu wa wilaya.

Hii no moja ya sababu ya watu wa Bukoba "kuukimbia mji"wakiogopa fitna za wao kwa wao. Ukijenga nyumba kali au kufanya maendeleo, jiandae kwa vita kali mpaka utakimbia.

Ndicho anachofanya huyo wa macho madogo kama senene. Kastaafu hana shughuli mjini, anapiga fitna majirani zake kila siku.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, baada ya kuona hali hiyo, aliamua kufanya event ya kuwashawishi warudi kwao,maana kila anayefanikiwa anapakimbia huko. Wanatamba sana Arusha, Mwanza, Dar na Moro, kwao ni kama kijiji kikubwa.

Wanapiga kila mtu majungu, hata juzi mbunge wao aliangua kilip hadharani, akidai kwa nini wana bukoba hawataki maendeleo, wanazuia miradi ya serikali ambayo mi faida kwao
Screenshot_20231224-115444.jpg
 
Back
Top Bottom