mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ataviondoaaaa labdaMbona vituo kibao vimejengwa uswahilini wilaya zote dar maeneo yasiyotakiwa mbona hajafoka ? Ana lake jambo
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataviondoaaaa labdaMbona vituo kibao vimejengwa uswahilini wilaya zote dar maeneo yasiyotakiwa mbona hajafoka ? Ana lake jambo
Wacha weeeWaziri Jerry Slaa rudisha heshima ya Wamburu
Yule Slaa Dr mihogo aliharibu heshima iliyo asisiwa na Mburu Bw SARAWATI aliye simamia haki mpaka Julius Kambarage Nyerere alimbania uhuru wake
Jerry Slaa shikilia hapohapo!!!
Sokoinemdogo wewe Kwa Sasa
Mungu akulinde
We nenda kachukue ulikoachia akili yako. Nchi hii ina sheria lazima zifuatwe, unasikia we bwege?Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
We umechanganyikiwa ukatibiweWizara yake ndio ilitoa vibali vyote kijengwe, anamlaumu nani? Kama yeye mwanaume, basi akivunie
Kumbe ulitakiwa uwe MirembeNdio utajua hujui, mwambie akibomoe hicho kituo kama yeue mwanaume, wizara yake ndio imempa vibali vyote kujenga kituo cha mafuta, na kama anataka kuupima uwaziri wake dhidi ya maslahi ya nchi, azuie na vituo vingine nchi nzima
Mamlaka anayo mjombako? Mbona bwege hivyo?Hana hayo mamlaka angekuwa nayo angefanya
Ndiyo thinking yako imefikia mwisho? Kile kinachobaki baada ya kutoa elimu ya kukariri darasani ndiyo uhalisia wako, sasa hapa umetumia vyote.Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Ndugu watanzania wenzangu tumuunge mkono mawaziri km Jerry Silaa, hawa ndio viongozi tunaowahitaji, alitakiwa awe naibu waziri mkuu maana huyu Dotto simwelewi yuko km mwinjilisti.Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Hivi kilibomolewa eneo gani na kujengwa tena?Magu alikibomoa mwanza kituo cha mansoor, na nchi ikalipa fidia na kimejengwa tena
Mumeo hajambo
Chizi kaweka makopo pembeni anajibishana na genious wa taifaHili swali anauliza mtu anayejiita Chinembe.... Hiii dunia hii ina maswahibu. Niambie chinembe.... Hakijambo? Ulileta hoja ya kipumbavu watu wameonesha upumbavu wako. Umeishiwa hoja.... Nyie ni hasara sana kwa taifa.
Ni yule anayewapa vibali fakeHivi anayewapa kichwa wafanyabiashara wahuni ni nani?
Umeandika kwa hasira. Havina uhusiano.Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
KabisaAnna Ni Tatizo Kagera
Ngapi hukooo🤣Sio kwamba ukiwa JamiiForums kazi kubwa inakuwa kuonyesha ujinga wako kwa mapana zaidi au?