Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

Mnachosha kila siku mnafungua uzi kuhusu kagera na maendeleo...

Kwani kagera ndo pekee Tz kuna shida na maendeleo?

Ni mikoa mingapi Tz hii haina maendeleo na hakuna kinachofanyika...

Tukianza na Arusha mji wenye stendi mbovu na finyu
Moshi stendi yao imechakaa na barabara nyingi hazina lami mfano mjohoroni, Rau, pasua, majengo, mabogini nk
Dar..barabara za upanga nyingi ni mavumbi bila kusahau masaki kuna madimbwi barabarani
Dodoma barabara zote za kuingia mjini finyu kweli kweli
Mbeya hicho ni kijiji kikubwa tu
Mwanza barabara ni finyu mno
Nk nk

Acha kufanya mambo ya kagera kuwa big deal as if huko ndo kunashida tu...
Bukoba kuna the best Airport terminal na naskia mwakani wanajenga control tower na uwanja unawekewa taa.....tazama mikoa mingi Tz airport zao kama vibanda vya kuku...anza na Dodoma, nenda Arusha, musoma, iringa nk nk

Bukoba kuna uwanja mzr wa mpira wa kaitaba una nyasi bandia na Taa na uko top 5 ya viwanja bora nchi hii...angalia mikoa mingine hapa Tz na viwanja vyao vya ccm tukianza kirumba sijui jamhuri

Bukoba kuna shule nzr tu na zenye elimu bora sana...Tazama chuo cha veta bukoba kinazidi uzuri DUCE au mzumbe kwa majengo mazr..tz shule ya bk sec, ihungo, kaizirege nk

Bukoba kuna bandari kubwa tu Custom na nyingine ya mizigo kemondo meli zinakuja na bandari hiz ziko zinapanuliwa kupokea meli ya mv mwanza
Na mengine mengi tu bukoba iko vzr sana

Lakin ukosefu wa stendi bukoba ambako wengi hufikia basi wanaona Bukoba wanateseka sana na hakuna maendeleo [emoji23]...anasahau stendi ya kigamboni, rangi tatu, bunju, kawe huko dar ambazo ziko kama ilivyokuwa stendi ya Bukoba ambayo nayo inajengwa

Serikali ifanye inachoweza na usipangie watu maisha...

Kila siku wahaya wahaya...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mnachosha kila siku mnafungua uzi kuhusu kagera na maendeleo...

Kwani kagera ndo pekee Tz kuna shida na maendeleo?

Ni mikoa mingapi Tz hii haina maendeleo na hakuna kinachofanyika...

Tukianza na Arusha mji wenye stendi mbovu na finyu
Moshi stendi yao imechakaa na barabara nyingi hazina lami mfano mjohoroni, Rau, pasua, majengo, mabogini nk
Dar..barabara za upanga nyingi ni mavumbi bila kusahau masaki kuna madimbwi barabarani
Dodoma barabara zote za kuingia mjini finyu kweli kweli
Mbeya hicho ni kijiji kikubwa tu
Mwanza barabara ni finyu mno
Nk nk

Acha kufanya mambo ya kagera kuwa big deal as if huko ndo kunashida tu...

Serikali ifanye inachoweza na usipangie watu maisha...

Kila siku wahaya wahaya...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hivyo unakubali kwamba ttzo ni roho mbaya na roho ya Kwa Nini?
 
Ungekufikiria nje ya boksi.. sababu ya Uzi huu kuletwa.. ungeepuka mengi.. ila wahaya nishomile ukweli ndio unaumaaaaa
 
Roho mbaya ni tabia za mtu mmoja mmoja sio jamii nzima mkuu...acha kuongelea makabila mkuu

Ni wangap wana Roho mbaya Tz hii..

Vip wanaozuia Reli ya Tz isianze, wanaozuia uwwkezaji kwenye mwendokasi, wanaokataa starlink, wanaokaa kimya watz wakiuliwa Huko Israel nk...wote ni wahaya sio

Mtu kama huwezi kuishi naye..mtoe kwenye maisha yake sio kukaa hapa kupiga majungu kabila zima.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mnachosha kila siku mnafungua uzi kuhusu kagera na maendeleo...

Kwani kagera ndo pekee Tz kuna shida na maendeleo?

Ni mikoa mingapi Tz hii haina maendeleo na hakuna kinachofanyika...

Tukianza na Arusha mji wenye stendi mbovu na finyu
Moshi stendi yao imechakaa na barabara nyingi hazina lami mfano mjohoroni, Rau, pasua, majengo, mabogini nk
Dar..barabara za upanga nyingi ni mavumbi bila kusahau masaki kuna madimbwi barabarani
Dodoma barabara zote za kuingia mjini finyu kweli kweli
Mbeya hicho ni kijiji kikubwa tu
Mwanza barabara ni finyu mno
Nk nk

Acha kufanya mambo ya kagera kuwa big deal as if huko ndo kunashida tu...

Serikali ifanye inachoweza na usipangie watu maisha...

Kila siku wahaya wahaya...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ni kweli mikoa yote kuna umaskini.
Lakini ni kweli pia kwamba Wahaya mna matatizo sana, mna tambo nyingi sana za kijinga. Mnajifanya wajuaji mno kupita kiasi hadi imekuwa kero kwa watu wengine.
 
Ungekufikiria nje ya boksi.. sababu ya Uzi huu kuletwa.. ungeepuka mengi.. ila wahaya nishomile ukweli ndio unaumaaaaa
Kile kituo cha Mafuta pale kilipo hakina neno maskini ya Mungu ni unshomilee tu ndio umezingua, bahati nzuri hii dunia kuna ile kanuni ya kutoa muda, na hili la jamaa zetu wa Barrer tutoe muda
 
Moja kati ya sababu za mkoa wa kagera kutoendelea, ni tabia ya kijicho na wivu. Omba uwe na jirani yoyoye yule lakini asiwe muhaya. Na ikiwa ni jirani yako, usifanye maendeleo makubwa. Lazima ataanza kuzua visa na mikasa, atakufungulia kesi mahakamani, kwa wenyeviti wa mitaa, kwa mkuu wa wilaya.

Hii no moja ya sababu ya watu wa Bukoba "kuukimbia mji"wakiogopa fitna za wao kwa wao. Ukijenga nyumba kali au kufanya maendeleo, jiandae kwa vita kali mpaka utakimbia.

Ndicho anachofanya huyo wa macho madogo kama senene. Kastaafu hana shughuli mjini, anapiga fitna majirani zake kila siku.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, baada ya kuona hali hiyo, aliamua kufanya event ya kuwashawishi warudi kwao,maana kila anayefanikiwa anapakimbia huko. Wanatamba sana Arusha, Mwanza, Dar na Moro, kwao ni kama kijiji kikubwa.

Wanapiga kila mtu majungu, hata juzi mbunge wao aliangua kilip hadharani, akidai kwa nini wana bukoba hawataki maendeleo, wanazuia miradi ya serikali ambayo mi faida kwao
View attachment 2851434
Kumbe ndivyo walivyo!
 
Cha Muhimu tuzingatie Usalama wa Watu, Sheria na Maadili kuliko hizo Kodi.
Tungetaka kodi kubwa Tungehalalisha kilimo cha Bangi, Mirungi na Cocaine
 
Ni kweli mikoa yote kuna umaskini.
Lakini ni kweli pia kwamba Wahaya mna matayizo sana, mna tambo nyingi sana za kijinga. Mnajifanya wajuaji mno kupita kiasi hadi imekuwa kero kwa watu wengine.
Kama sio wategemezi kwako na hakuna madhara kwako...mind your own business...kama mtu amekudhuru then deal nae binafsi....kama hakuna effect kwako waache ni lifestyle yao...kuwaandika kila siku mtandaoni hakuwezi kubadilisha kitu zaidi utakuwa unapoteza muda tu na mwisho utakuwa unaonea wivu kila mhaya mwenye mafanikio...maana hauwezi shindana na tabia tofauti tofauti za watu zaidi 3 million...

Wew kwako unaona wana matatizo mengi lakini kwao sio Tatizo and they are okay....Na kama u mtu mwenye exposure huwezi sumbuliwa na diversity ya Tabia tofauti tofauti za binadamu bali utajua kuhundle tabia za kila mtu aliye tofauti na wew...

Lakin pia in a positive way ukiona watu wanakuongelea sana ujue una kitu...lazima una story ya kuongelewa...Kwa Tanzania mtu mwenye uelewa mpana na exposure sana uitwa mjuaji maana culture ya watz wengi wanapenda tufanane tabia hata kama mtu una exposure kiasi gani...ukijaribu kushare exposure yako watakuona mjuaji, unaringa, una majivuno na sifa nk...na hii ndo inafanya Tz tuzidi kuwa maskini wa kutupwa maana watu bright mnaona wana matatizo mnapenda ujinga na low IQs..

Wahaya wana kitu ndo maana kuna story nyingi kuhusu wao ziwe mbaya au nzr...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Rushwa ndio inafanya wapate vibali vinavyokinzana na sheria.

Tuseme jambo kubwa linalotakiwa kufanyika ni Serikali kukubali kuwakabili na kushitaki watu wake ndani ya ofisi za umma ambao ndio wanatoa vibali vilivyo kinyume na sheria

Pengine zaidi ya nusu ya vituo vyote vya mafuta havikidhi matakwa ya sheria ya kuwepo maeneo vilipo. Vituo vipo katika umbali wa mita 200 kutoka kimoja hadi kingine, huku sheria inataka viwe umbali wa kilomita 50
Kilomita 50 kutoka kituo kimoja hadi kingine??? Kama sheria iko hivyo then hiyo sheria ni ya kipuuzi mno, haki yake kuvunjwa.
 
Moja kati ya sababu za mkoa wa kagera kutoendelea, ni tabia ya kijicho na wivu. Omba uwe na jirani yoyoye yule lakini asiwe muhaya. Na ikiwa ni jirani yako, usifanye maendeleo makubwa. Lazima ataanza kuzua visa na mikasa, atakufungulia kesi mahakamani, kwa wenyeviti wa mitaa, kwa mkuu wa wilaya.

Hii no moja ya sababu ya watu wa Bukoba "kuukimbia mji"wakiogopa fitna za wao kwa wao. Ukijenga nyumba kali au kufanya maendeleo, jiandae kwa vita kali mpaka utakimbia.

Ndicho anachofanya huyo wa macho madogo kama senene. Kastaafu hana shughuli mjini, anapiga fitna majirani zake kila siku.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, baada ya kuona hali hiyo, aliamua kufanya event ya kuwashawishi warudi kwao,maana kila anayefanikiwa anapakimbia huko. Wanatamba sana Arusha, Mwanza, Dar na Moro, kwao ni kama kijiji kikubwa.

Wanapiga kila mtu majungu, hata juzi mbunge wao aliangua kilip hadharani, akidai kwa nini wana bukoba hawataki maendeleo, wanazuia miradi ya serikali ambayo mi faida kwao
View attachment 2851434
Hawa ni matapeli wa mjini hawataki kuendeleza kwao
 
Kama sio wategemezi kwako na hakuna madhara kwako...mind your own business...kama mtu amekudhuru then deal nae binafsi....kama hakuna effect kwako waache ni lifestyle yao...kuwaandika kila siku mtandaoni hakuwezi kubadilisha kitu zaidi utakuwa unapoteza muda tu na mwisho utakuwa unaonea wivu kila mhaya mwenye mafanikio...maana hauwezi shindana na tabia tofauti tofauti za watu zaidi 3 million...

Wew kwako unaona wana matatizo mengi lakini kwao sio Tatizo and they are okay....Na kama u mtu mwenye exposure huwezi sumbuliwa na diversity ya Tabia tofauti tofauti za binadamu bali utajua kuhundle tabia za kila mtu aliye tofauti na wew...

Lakin pia in a positive way ukiona watu wanakuongelea sana ujue una kitu...lazima una story ya kuongelewa...Kwa Tanzania mtu mwenye uelewa mpana na exposure sana uitwa mjuaji maana culture ya watz wengi wanapenda tufanane tabia hata kama mtu una exposure kiasi gani...ukijaribu kushare exposure yako watakuona mjuaji, unaringa, una majivuno na sifa nk...na hii ndo inafanya Tz tuzidi kuwa maskini wa kutupwa maana watu bright mnaona wana matatizo mnapenda ujinga na low IQs..

Wahaya wana kitu ndo maana kuna story nyingi kuhusu wao ziwe mbaya au nzr...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mmezidi nanyie kwa sifa za kijinga punguzeni
 
Back
Top Bottom