Dar: Wananchi zaidi ya Thelathini wadai kutapeliwa zaidi ya Milioni 500 na “Hope Vicoba”

Dar: Wananchi zaidi ya Thelathini wadai kutapeliwa zaidi ya Milioni 500 na “Hope Vicoba”

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wananchi zaidi ya Thelathini wamedai kutapeliwa zaidi ya Milioni Mia tano (500) na Mfanyabiashara Tumaini Efata Ulio Makazi wa Mbezi Shule Jijini Dar es Salaam kupitia kampuni yake ya "VICOBA HOPE"

Wakizungumza na ManaraTv kwa Nyakati tofauti baada ya kufika katika Kituo cha Polisi Mbweni anapo shikiliwa mtuhumiwa huyo Wananchi hao wamesema kuwa Mfanyabiashara huyo aliwatapeli kupitia Mchezo wa upatu wa vikundi aliouanzisha kupitia mtandao wake WhatsApp.

Soma Pia: Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli

Wamesema kuwa Mfanyabiashara huyo alianzisha Mchezo huo kwa lengo la kukwamua watu kiuchumi badala yake imekuwa tofauti na walivyoelekezwa.

Pia Wananchi hao wamedai kuwa licha juhudi za kuendelea kudai fedha zao lakini wamekuwa wakipokea maneno ya majigambo kutoka kwa mfanyabiashara huyo.


Source: Manara TV
 
MICHEZO ni mizuri inasaidia wengi mno ikitumika vizuri bila utapeli
Mama zetu miaka 80 mwishoni walivyoianzisha ilikuwa na lengo zuri mno ambapo mlikuwa mnajuana wote mnaocheza kwa ushirikiano mkubwa
na walijikwamua katika kusaidia ndugu zao na kufikia malengo yao na mababa zetu ndo mana unaona leo tunatamba na nyumba za urithi zilizotokana na michezo tumesomeshwa kutokana na michezo na mpka sasa mm nacheza hiyo michezo ya upatu

Sisi tumeiupgrade kidogo kwenda kidigitari hata kam upo mkoani bado unaweza kucheza kwa magroup ya whatsapp mnayoaminiana na kujuana vema
Mfanyabiashara yoyote wa kuzungusha kila siku huwezi mkosa anacheza michezo hii inasaidia sasa

lakini sasa kuna watu wanacheza michezo kwa mihemko siwezi cheza mchezo mtu anapost INSTAGRAM umjui ujui chimbuko lake then ukakimbilia kujiunga kisa anakuambia ana ofisi mwanasheria blahblah hell NO siwezi kufanya upuuzi huo

Michezo mizuri lkn chezeni wenyewe wafanyabiashara mnaojuana vema

na michezo sasa hivi inachezwa whatsap ikifika siku ya kupokea muhusika anaweka namba anatumiwa direct then kesho anaweka namba mwingine

michezo ya pesa kupewa kijumbe ni ya utata 7bu anaweza kuwapanga anapokea furani kumbe wote hamjapokea na pesa anazitumbua yeye na hiyo michezo jamii ya vicoba ni upuuzi
mchezo umeenda mda mrefu sana basi miezi 6 ila inanoga kila baada miezi mitatu mchezo unageuka

sisi makondakta na madereva na tunacheza sana michezo inatusaidia kulipa KODI kwa wakati na wengine tumenunua viwanja na kuanza ujenzi kwa michezo

JIHADHALINI NA MATAPELI CHEZENI WENYEWE MNAJUANA HATA KMA WACHACHE MTAONGEZEKA TU KULIKO KUFUATA MICHEZO YA INSTAGRAM AMBAPO WANAPOST MAISHA YA UWONGO KISA PESA INAEKWA KWENYE ACCOUNT YA BANK KUWATIA IMANI
NI UWONGO MTATAPELIWA
 
MICHEZO ni minzuri inasaidia wengi mno ikitumika vinzuri bila utaperi
Mama zetu miaka 80 mwishoni walivyoianzisha ilikuwa na lengo nzuri mno ambapo mlikuwa. mnajuana wote mnaocheza kwa ushirikiano mkubwa na walijikwamua katika kusaidia ndugu zao na kufikia malengo yao na mababa zetu ndo mana unaona leo tunatamba na nyumba za urithi zilizotokana na michezo tumesomeshwa kutokana na michezo
na mpka.sasa mm nacheza hiyo michezo ya upatu sisi tumeiuograde kidogo kwenda kidigitari hata kam upo mkoanibado unaweza kucheza kwa magroup mnayoaminiana na kujuana
na mfanyabiashara yoyote wa kuzungusha kila siku huwezi mkosa anacheza michezo
hii inasaidia sasa
lakini sasa kuna watu wanacheza michezo kwa mihemko siwezi cheza mchezo mtu anapost INSTAGRAM umjui ujui chimbuko lake then ukakimbilia kujiunga kisa anakuambia ana ofisi mwanasheria blahblah

Michezo minzuri lkn chezeni wenyewe wafanyabiashara mnajuana
na michezo sasa hivi
inachezwa whatsap ikifika siku ya kupokea muhusika anaweka namba anatumiwa direct then kesho anaweka namba mwingine
michezo ya pesa kupewa kijumbe ni ya utata 7bu anaweza kuwapanga anapokea furani kumbe wote hamjapokea na pesa anazitumbua yeye na hiyo michezo jamii ya vicoba upuuzi
mchezo umeenda mda mrefu sana basi miezi 6 ila inanoga kila baada miezi mitatu mchezo unageuka

sisi makondakta na madereva na tunacheza sana michezo inatusaidia kulipa KODI kwa wakati na wengine tumenunua viwanja na kuanza ujenzi kwa michezo

JIHADHALINI NA MATAPELI CHEZENI WENYEWE MNAJUANA HATA KMA WACHACHE MTAONGEZEJA TU KULIKO KUFUATA MICHEZO YA INSTAGRAM AMBAPO WANAPOST MAISHA YA UWONGO KISA PESA INAEKWA KWENYW ACCOUNT YA BANK KUWATIA IMANI
NI UWONGO MTATAPELIWA
Una muandiko wa "ile hela tuma kwenye namba hii".
 
Una muandiko wa "ile hela tuma kwenye namba hii".
🤣🤣🤣🤣 we jamaa ile gari ulokuwa uancholaga ndo hii sasa
FB_IMG_1741524131232.jpg
 
Safi sana, ingekuwa ni uwezo wangu, nngeruhusu hawa matapeli kufanya kazi zao kwa uhuru ila muhimu walipe kodi mana wanawachangamsha wapuuzi wapate japo akili ndogo ya kutumia.
 
Una muandiko wa "ile hela tuma kwenye namba hii".
Jamaa ameandika kwa hisia sana, ety wao wame-upgrade hata ukiwa mkoani unaweza kucheza 😂

Anyway, nimependa bidii yake ya kutafuta nyumbu 😂 mtoa comment ana familia jaman ngoja ajaribu na huku JF kdg 😂
 
Wananchi zaidi ya Thelathini wamedai kutapeliwa zaidi ya Milioni Mia tano (500) na Mfanyabiashara Tumaini Efata Ulio Makazi wa Mbezi Shule Jijini Dar es Salaam kupitia kampuni yake ya "VICOBA HOPE"

Wakizungumza na ManaraTv kwa Nyakati tofauti baada ya kufika katika Kituo cha Polisi Mbweni anapo shikiliwa mtuhumiwa huyo Wananchi hao wamesema kuwa Mfanyabiashara huyo aliwatapeli kupitia Mchezo wa upatu wa vikundi aliouanzisha kupitia mtandao wake WhatsApp.

Soma Pia: Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli

Wamesema kuwa Mfanyabiashara huyo alianzisha Mchezo huo kwa lengo la kukwamua watu kiuchumi badala yake imekuwa tofauti na walivyoelekezwa.

Pia Wananchi hao wamedai kuwa licha juhudi za kuendelea kudai fedha zao lakini wamekuwa wakipokea maneno ya majigambo kutoka kwa mfanyabiashara huyo.
Ukijiunga vikoba usiwe na haraka kwani kila mtu atapata haki yake muda ukimfikia, watu 500 mkipewa hela zenu kwa siku moja huo mfuko wenu utakwisha hivyo lengo kutotimia, subira huvuta kheri.
 
Yes, watanzania wengi wana pesa ila hawajui kuzitumia wanasubiri kuambiwa cha kufanya au sehemu ya kuweka hizo pesa
 
Back
Top Bottom