Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu,
Baada ya Nicole, kajitokeza mwingine huku.
Yaani Watanzania, mtu unafanya kazi kwa nguvu alafu umeipata unamtumia mtu usiyemjua?
===========================================
Wananchi takriban 30 wamedai kutapeliwa zaidi ya milioni 500 na mfanyabiashara Tumaini Efata wa Mbezi Shule, Dar es Salaam, kupitia kampuni yake VICOBA HOPE.
Wananchi hao walieleza kuwa Efata aliendesha mpango wa upatu kupitia WhatsApp, akidai kuwa ni kwa ajili ya kuwawezesha kiuchumi, lakini matokeo yakawa tofauti.
Licha ya madai yao ya kurejeshewa fedha, wamekuwa wakikumbana na majibu ya dharau kutoka kwa mtuhumiwa. Wameomba Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia kupata haki yao
.