Ndio,lkn baadhi ya watu wanaweza wasijue kama ni upatu,,maana hawajui upatu ni nini au yaweza anza kama vikoba lkn mbeleni ikabadilishwa na kuwa upatu,hilo watu walielewe ndo maana kwasasa kuna usajiri ili kuondoa huo utata,,kuna kazi nyingine ni rahisi kubadilika kuwa nyingine at the same time, mfano dalali kubadilika kuwa tapeli ni dakika sifuri tu, maana ziko karibu kimfanano,japo si madalali wote ni tapeli,nieleweke vyema jamani.Hivi bado kuna watu wanacheza Upatu?
Wajinga hawatakaa waisheWananchi zaidi ya Thelathini wamedai kutapeliwa zaidi ya Milioni Mia tano (500) na Mfanyabiashara Tumaini Efata Ulio Makazi wa Mbezi Shule Jijini Dar es Salaam kupitia kampuni yake ya "VICOBA HOPE"
Wakizungumza na ManaraTv kwa Nyakati tofauti baada ya kufika katika Kituo cha Polisi Mbweni anapo shikiliwa mtuhumiwa huyo Wananchi hao wamesema kuwa Mfanyabiashara huyo aliwatapeli kupitia Mchezo wa upatu wa vikundi aliouanzisha kupitia mtandao wake WhatsApp.
Soma Pia: Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli
Wamesema kuwa Mfanyabiashara huyo alianzisha Mchezo huo kwa lengo la kukwamua watu kiuchumi badala yake imekuwa tofauti na walivyoelekezwa.
Pia Wananchi hao wamedai kuwa licha juhudi za kuendelea kudai fedha zao lakini wamekuwa wakipokea maneno ya majigambo kutoka kwa mfanyabiashara huyo.
Hahahhahaa sasa mbona ata tyre zipo size tofauti mzee🤣🤣🤣🤣 we jamaa ile gari ulokuwa uancholaga ndo hii sasaView attachment 3282290
Bob Unatumia mda mrefu kuandika, ila unaandika hovyo hovyo sana.MICHEZO ni minzuri inasaidia wengi mno ikitumika vinzuri bila utaperi
Mama zetu miaka 80 mwishoni walivyoianzisha ilikuwa na lengo nzuri mno ambapo mlikuwa. mnajuana wote mnaocheza kwa ushirikiano mkubwa na walijikwamua katika kusaidia ndugu zao na kufikia malengo yao na mababa zetu ndo mana unaona leo tunatamba na nyumba za urithi zilizotokana na michezo tumesomeshwa kutokana na michezo
na mpka.sasa mm nacheza hiyo michezo ya upatu sisi tumeiuograde kidogo kwenda kidigitari hata kam upo mkoanibado unaweza kucheza kwa magroup mnayoaminiana na kujuana
na mfanyabiashara yoyote wa kuzungusha kila siku huwezi mkosa anacheza michezo
hii inasaidia sasa
lakini sasa kuna watu wanacheza michezo kwa mihemko siwezi cheza mchezo mtu anapost INSTAGRAM umjui ujui chimbuko lake then ukakimbilia kujiunga kisa anakuambia ana ofisi mwanasheria blahblah
Michezo minzuri lkn chezeni wenyewe wafanyabiashara mnajuana
na michezo sasa hivi
inachezwa whatsap ikifika siku ya kupokea muhusika anaweka namba anatumiwa direct then kesho anaweka namba mwingine
michezo ya pesa kupewa kijumbe ni ya utata 7bu anaweza kuwapanga anapokea furani kumbe wote hamjapokea na pesa anazitumbua yeye na hiyo michezo jamii ya vicoba upuuzi
mchezo umeenda mda mrefu sana basi miezi 6 ila inanoga kila baada miezi mitatu mchezo unageuka
sisi makondakta na madereva na tunacheza sana michezo inatusaidia kulipa KODI kwa wakati na wengine tumenunua viwanja na kuanza ujenzi kwa michezo
JIHADHALINI NA MATAPELI CHEZENI WENYEWE MNAJUANA HATA KMA WACHACHE MTAONGEZEJA TU KULIKO KUFUATA MICHEZO YA INSTAGRAM AMBAPO WANAPOST MAISHA YA UWONGO KISA PESA INAEKWA KWENYW ACCOUNT YA BANK KUWATIA IMANI
NI UWONGO MTATAPELIWA
Washamba ni wanaopigwaMshamba wewe, utaja angukia pua
kweli tupu👿 kuepuka kutapeliana wote mnaocheza inabidi mfahamiane personally!! Sasa unakuta mtu mwingine kijumbe mwenyewe hamjui lkn kutwa anamtumia pesa ,what a fool?!!!MICHEZO ni minzuri inasaidia wengi mno ikitumika vinzuri bila utaperi
Mama zetu miaka 80 mwishoni walivyoianzisha ilikuwa na lengo nzuri mno ambapo mlikuwa. mnajuana wote mnaocheza kwa ushirikiano mkubwa na walijikwamua katika kusaidia ndugu zao na kufikia malengo yao na mababa zetu ndo mana unaona leo tunatamba na nyumba za urithi zilizotokana na michezo tumesomeshwa kutokana na michezo
na mpka.sasa mm nacheza hiyo michezo ya upatu sisi tumeiuograde kidogo kwenda kidigitari hata kam upo mkoanibado unaweza kucheza kwa magroup mnayoaminiana na kujuana
na mfanyabiashara yoyote wa kuzungusha kila siku huwezi mkosa anacheza michezo
hii inasaidia sasa
lakini sasa kuna watu wanacheza michezo kwa mihemko siwezi cheza mchezo mtu anapost INSTAGRAM umjui ujui chimbuko lake then ukakimbilia kujiunga kisa anakuambia ana ofisi mwanasheria blahblah
Michezo minzuri lkn chezeni wenyewe wafanyabiashara mnajuana
na michezo sasa hivi
inachezwa whatsap ikifika siku ya kupokea muhusika anaweka namba anatumiwa direct then kesho anaweka namba mwingine
michezo ya pesa kupewa kijumbe ni ya utata 7bu anaweza kuwapanga anapokea furani kumbe wote hamjapokea na pesa anazitumbua yeye na hiyo michezo jamii ya vicoba upuuzi
mchezo umeenda mda mrefu sana basi miezi 6 ila inanoga kila baada miezi mitatu mchezo unageuka
sisi makondakta na madereva na tunacheza sana michezo inatusaidia kulipa KODI kwa wakati na wengine tumenunua viwanja na kuanza ujenzi kwa michezo
JIHADHALINI NA MATAPELI CHEZENI WENYEWE MNAJUANA HATA KMA WACHACHE MTAONGEZEJA TU KULIKO KUFUATA MICHEZO YA INSTAGRAM AMBAPO WANAPOST MAISHA YA UWONGO KISA PESA INAEKWA KWENYW ACCOUNT YA BANK KUWATIA IMANI
NI UWONGO MTATAPELIWA
NakaziaUna muandiko wa "ile hela tuma kwenye namba hii".
nivutie wasomaji kwani hapa naandika RIWAYA nalipwa mimiBob Unatumia mda mrefu kuandika, ila unaandika hovyo hovyo sana.
Kuandika vizuri kunavutia wasomaji
Minzuri, vinzuri.... sijaendelea kusoma comment yakoMICHEZO ni minzuri inasaidia wengi mno ikitumika vinzuri bila utaperi
Mama zetu miaka 80 mwishoni walivyoianzisha ilikuwa na lengo nzuri mno ambapo mlikuwa. mnajuana wote mnaocheza kwa ushirikiano mkubwa na walijikwamua katika kusaidia ndugu zao na kufikia malengo yao na mababa zetu ndo mana unaona leo tunatamba na nyumba za urithi zilizotokana na michezo tumesomeshwa kutokana na michezo
na mpka.sasa mm nacheza hiyo michezo ya upatu sisi tumeiuograde kidogo kwenda kidigitari hata kam upo mkoanibado unaweza kucheza kwa magroup mnayoaminiana na kujuana
na mfanyabiashara yoyote wa kuzungusha kila siku huwezi mkosa anacheza michezo
hii inasaidia sasa
lakini sasa kuna watu wanacheza michezo kwa mihemko siwezi cheza mchezo mtu anapost INSTAGRAM umjui ujui chimbuko lake then ukakimbilia kujiunga kisa anakuambia ana ofisi mwanasheria blahblah
Michezo minzuri lkn chezeni wenyewe wafanyabiashara mnajuana
na michezo sasa hivi
inachezwa whatsap ikifika siku ya kupokea muhusika anaweka namba anatumiwa direct then kesho anaweka namba mwingine
michezo ya pesa kupewa kijumbe ni ya utata 7bu anaweza kuwapanga anapokea furani kumbe wote hamjapokea na pesa anazitumbua yeye na hiyo michezo jamii ya vicoba upuuzi
mchezo umeenda mda mrefu sana basi miezi 6 ila inanoga kila baada miezi mitatu mchezo unageuka
sisi makondakta na madereva na tunacheza sana michezo inatusaidia kulipa KODI kwa wakati na wengine tumenunua viwanja na kuanza ujenzi kwa michezo
JIHADHALINI NA MATAPELI CHEZENI WENYEWE MNAJUANA HATA KMA WACHACHE MTAONGEZEJA TU KULIKO KUFUATA MICHEZO YA INSTAGRAM AMBAPO WANAPOST MAISHA YA UWONGO KISA PESA INAEKWA KWENYW ACCOUNT YA BANK KUWATIA IMANI
NI UWONGO MTATAPELIWA
Wewe ni tapeli.MICHEZO ni minzuri inasaidia wengi mno ikitumika vinzuri bila utaperi

Hizo pesa za upatu ziwe zinawekwa M-Koba…Wananchi zaidi ya Thelathini wamedai kutapeliwa zaidi ya Milioni Mia tano (500) na Mfanyabiashara Tumaini Efata Ulio Makazi wa Mbezi Shule Jijini Dar es Salaam kupitia kampuni yake ya "VICOBA HOPE"
Wakizungumza na ManaraTv kwa Nyakati tofauti baada ya kufika katika Kituo cha Polisi Mbweni anapo shikiliwa mtuhumiwa huyo Wananchi hao wamesema kuwa Mfanyabiashara huyo aliwatapeli kupitia Mchezo wa upatu wa vikundi aliouanzisha kupitia mtandao wake WhatsApp.
Soma Pia: Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli
Wamesema kuwa Mfanyabiashara huyo alianzisha Mchezo huo kwa lengo la kukwamua watu kiuchumi badala yake imekuwa tofauti na walivyoelekezwa.
Pia Wananchi hao wamedai kuwa licha juhudi za kuendelea kudai fedha zao lakini wamekuwa wakipokea maneno ya majigambo kutoka kwa mfanyabiashara huyo.
Mnatamba na nyumba za Urithi, kwahiyo ulimuuwa mzazi wako?MICHEZO ni minzuri inasaidia wengi mno ikitumika vinzuri bila utaperi
Mama zetu miaka 80 mwishoni walivyoianzisha ilikuwa na lengo nzuri mno ambapo mlikuwa. mnajuana wote mnaocheza kwa ushirikiano mkubwa na walijikwamua katika kusaidia ndugu zao na kufikia malengo yao na mababa zetu ndo mana unaona leo tunatamba na nyumba za urithi zilizotokana na michezo tumesomeshwa kutokana na michezo
na mpka.sasa mm nacheza hiyo michezo ya upatu sisi tumeiuograde kidogo kwenda kidigitari hata kam upo mkoanibado unaweza kucheza kwa magroup mnayoaminiana na kujuana
na mfanyabiashara yoyote wa kuzungusha kila siku huwezi mkosa anacheza michezo
hii inasaidia sasa
lakini sasa kuna watu wanacheza michezo kwa mihemko siwezi cheza mchezo mtu anapost INSTAGRAM umjui ujui chimbuko lake then ukakimbilia kujiunga kisa anakuambia ana ofisi mwanasheria blahblah
Michezo minzuri lkn chezeni wenyewe wafanyabiashara mnajuana
na michezo sasa hivi
inachezwa whatsap ikifika siku ya kupokea muhusika anaweka namba anatumiwa direct then kesho anaweka namba mwingine
michezo ya pesa kupewa kijumbe ni ya utata 7bu anaweza kuwapanga anapokea furani kumbe wote hamjapokea na pesa anazitumbua yeye na hiyo michezo jamii ya vicoba upuuzi
mchezo umeenda mda mrefu sana basi miezi 6 ila inanoga kila baada miezi mitatu mchezo unageuka
sisi makondakta na madereva na tunacheza sana michezo inatusaidia kulipa KODI kwa wakati na wengine tumenunua viwanja na kuanza ujenzi kwa michezo
JIHADHALINI NA MATAPELI CHEZENI WENYEWE MNAJUANA HATA KMA WACHACHE MTAONGEZEJA TU KULIKO KUFUATA MICHEZO YA INSTAGRAM AMBAPO WANAPOST MAISHA YA UWONGO KISA PESA INAEKWA KWENYW ACCOUNT YA BANK KUWATIA IMANI
NI UWONGO MTATAPELIWA
Not utapeli everywhere bali upumbavu everywhereDah! Utapeli everywhere