Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ukijichanganya unapigwa tuKina ulio.. ulomi. “ tumetumwa ela..”
Una muandiko wa "ile hela tuma kwenye namba hii".MICHEZO ni minzuri inasaidia wengi mno ikitumika vinzuri bila utaperi
Mama zetu miaka 80 mwishoni walivyoianzisha ilikuwa na lengo nzuri mno ambapo mlikuwa. mnajuana wote mnaocheza kwa ushirikiano mkubwa na walijikwamua katika kusaidia ndugu zao na kufikia malengo yao na mababa zetu ndo mana unaona leo tunatamba na nyumba za urithi zilizotokana na michezo tumesomeshwa kutokana na michezo
na mpka.sasa mm nacheza hiyo michezo ya upatu sisi tumeiuograde kidogo kwenda kidigitari hata kam upo mkoanibado unaweza kucheza kwa magroup mnayoaminiana na kujuana
na mfanyabiashara yoyote wa kuzungusha kila siku huwezi mkosa anacheza michezo
hii inasaidia sasa
lakini sasa kuna watu wanacheza michezo kwa mihemko siwezi cheza mchezo mtu anapost INSTAGRAM umjui ujui chimbuko lake then ukakimbilia kujiunga kisa anakuambia ana ofisi mwanasheria blahblah
Michezo minzuri lkn chezeni wenyewe wafanyabiashara mnajuana
na michezo sasa hivi
inachezwa whatsap ikifika siku ya kupokea muhusika anaweka namba anatumiwa direct then kesho anaweka namba mwingine
michezo ya pesa kupewa kijumbe ni ya utata 7bu anaweza kuwapanga anapokea furani kumbe wote hamjapokea na pesa anazitumbua yeye na hiyo michezo jamii ya vicoba upuuzi
mchezo umeenda mda mrefu sana basi miezi 6 ila inanoga kila baada miezi mitatu mchezo unageuka
sisi makondakta na madereva na tunacheza sana michezo inatusaidia kulipa KODI kwa wakati na wengine tumenunua viwanja na kuanza ujenzi kwa michezo
JIHADHALINI NA MATAPELI CHEZENI WENYEWE MNAJUANA HATA KMA WACHACHE MTAONGEZEJA TU KULIKO KUFUATA MICHEZO YA INSTAGRAM AMBAPO WANAPOST MAISHA YA UWONGO KISA PESA INAEKWA KWENYW ACCOUNT YA BANK KUWATIA IMANI
NI UWONGO MTATAPELIWA
🤣🤣🤣🤣 we jamaa ile gari ulokuwa uancholaga ndo hii sasaUna muandiko wa "ile hela tuma kwenye namba hii".
Mshamba wewe, utaja angukia puaUkijichanganya unapigwa tu
Mm nimefurahi sana ila nimesikitika hapo jamaa alipokamatwa 😭🤣🤣🤣🤣.safi sana
Jamaa ameandika kwa hisia sana, ety wao wame-upgrade hata ukiwa mkoani unaweza kucheza 😂Una muandiko wa "ile hela tuma kwenye namba hii".
Ukijiunga vikoba usiwe na haraka kwani kila mtu atapata haki yake muda ukimfikia, watu 500 mkipewa hela zenu kwa siku moja huo mfuko wenu utakwisha hivyo lengo kutotimia, subira huvuta kheri.Wananchi zaidi ya Thelathini wamedai kutapeliwa zaidi ya Milioni Mia tano (500) na Mfanyabiashara Tumaini Efata Ulio Makazi wa Mbezi Shule Jijini Dar es Salaam kupitia kampuni yake ya "VICOBA HOPE"
Wakizungumza na ManaraTv kwa Nyakati tofauti baada ya kufika katika Kituo cha Polisi Mbweni anapo shikiliwa mtuhumiwa huyo Wananchi hao wamesema kuwa Mfanyabiashara huyo aliwatapeli kupitia Mchezo wa upatu wa vikundi aliouanzisha kupitia mtandao wake WhatsApp.
Soma Pia: Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli
Wamesema kuwa Mfanyabiashara huyo alianzisha Mchezo huo kwa lengo la kukwamua watu kiuchumi badala yake imekuwa tofauti na walivyoelekezwa.
Pia Wananchi hao wamedai kuwa licha juhudi za kuendelea kudai fedha zao lakini wamekuwa wakipokea maneno ya majigambo kutoka kwa mfanyabiashara huyo.
Huyu jamaa ni mmoja wao maana ni wa Kigoma.Una muandiko wa "ile hela tuma kwenye namba hii".
Mwingine huyu wa ile ela tuma kwenye namba ii.Ela ya mchezo,imekwenda kimchezo mchezo.wasimsumbue uyo urio