Dar: Wananchi zaidi ya Thelathini wadai kutapeliwa zaidi ya Milioni 500 na “Hope Vicoba”

Wajinga ni wengi sana
Acha wapigwe tu maana hawasiki
Wala kuelewa
Narudia tena,Acha wapigwe tu

Ova
 
Hivi hizi hela za kutapeliwa wanazitoa wapi? Mbona watu wana pesa sana halafu huku mtaani kila mtu anasema lyf tuff?
 
Hivi bado kuna watu wanacheza Upatu?
Ndio,lkn baadhi ya watu wanaweza wasijue kama ni upatu,,maana hawajui upatu ni nini au yaweza anza kama vikoba lkn mbeleni ikabadilishwa na kuwa upatu,hilo watu walielewe ndo maana kwasasa kuna usajiri ili kuondoa huo utata,,kuna kazi nyingine ni rahisi kubadilika kuwa nyingine at the same time, mfano dalali kubadilika kuwa tapeli ni dakika sifuri tu, maana ziko karibu kimfanano,japo si madalali wote ni tapeli,nieleweke vyema jamani.
 
Wajinga hawatakaa waishe
 
Unadhani kwanini tunaitwa WADANGANYIKA?!
Mzenji anatafuna na kuiweka nchi rehani bila huruma!
WADANGANYIKA hawakomi na hii michezo wacha waliwe tu!
 
Nimeamini kabisa ukimwekea mwananchi vitu kwenye maandishi umemaliza kabisaaa. Kila uchao hili linasemwa lakini hatukomi shida iko wapi?
 
Bob Unatumia mda mrefu kuandika, ila unaandika hovyo hovyo sana.

Kuandika vizuri kunavutia wasomaji
 
kweli tupu👿 kuepuka kutapeliana wote mnaocheza inabidi mfahamiane personally!! Sasa unakuta mtu mwingine kijumbe mwenyewe hamjui lkn kutwa anamtumia pesa ,what a fool?!!!
 
Bob Unatumia mda mrefu kuandika, ila unaandika hovyo hovyo sana.

Kuandika vizuri kunavutia wasomaji
nivutie wasomaji kwani hapa naandika RIWAYA nalipwa mimi
We soma ukiona unajichosha na uandishi we ruka usijichoshe na uandishi mbovu
sipo kwenye mashindano ya insha au story of change
sasa uandishi wa hovyo kwann unajichosha kusoma
na nishakuambia mm ni kondakta
 
Minzuri, vinzuri.... sijaendelea kusoma comment yako
 
Wewe ni tapeli.
 
POLE ZAO, JAPO WATU TARIBAN 30 WANAKUWA NA AKIBA YA ZAIDI 500MIL Ina maana kila mwanachama alikuwa na hisa ya zaidi ya 15mil? hao walikuwa sio wajasiriamali
 
Hizo pesa za upatu ziwe zinawekwa M-Koba…
 
Mnatamba na nyumba za Urithi, kwahiyo ulimuuwa mzazi wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…