Dar wapi mtu anaweza kwenda kuvua kwa ndoano?

Dar wapi mtu anaweza kwenda kuvua kwa ndoano?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Eti wakuu, kwa Dar wapi mtu anaweza kwenda kuvua kwa ndoano na kurudi na kitoweo. Au akafanya kama burudani lakini ssmaki anapata?

Najua kuna bahari, lakini kuweza kuvua kwa ndoano na kupata mboga ni kitu kingine.

cane-pole.jpg
 
Fika soko la samaki ferry,au soko la la samaki kunduchi au soko la samaki Msasani utawakuta maafisa uvuvi, ukitaka mtumbwi utakodisha ukitaka kuvua kwa boti za kisasa fika Dar yatch club/msasani utapata boti nzuri zenye ndoano. Hao. Watakupeleka maeneo ya kuvua
 
Ukitaka za kisasa ni Kama hio 2,500,000 Tshs mnakaa watu 14,unaitumia masaa 8.Ila Kama akiba iliyopo ndogo mkodi mvuvi na mtumbwi wake 40,000.
Screenshot_20211226-154544.png
 
Jamani nauliza kwani Dar ziwa Victoria halijafika? Mbona huku kwetu liko kila kona nikajua limezunguka nchi nzima

Humo ndo unaweza vua kwa ndoano confotably
 
Back
Top Bottom