Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana
Kwa mzigo mkubwa kama huu kuingizwa nchini bila kukamatwa mpakan, bandarini au Uwanja wa ndege (popote ulipopitia) ina maanisha kuwa njia za kuingilia hapa nchini zina matobo na zinavuja (polous). Inshallah wamewakamata.MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya jana tarehe 15 April 2020, imefanikiwa kumkamata kigogo wa dawa za kulevya raia wa Nigeria Kanayo David Chukwu (39) mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam.
Pia inawashikilia raia wawili wa Tanzania Alistair Amon Mbele(38) ambaye ni mkutubi wa Chuo Kikuu cha Aga Khan jijini Dar es Salaam, mkazi wa Mbezi Kibanda cha Mkaa na Isso Romward Lupembe (49) ambaye ni mkazi wa Mbezi Louis na Changanyikeni jijini.
Watuhumiwa wamekamatwa na dawa za kulevya aina ya heroin zinazokadiliwa kuwa na zaidi ya kilogramu 270 zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye moja ya nyumba iliyopo Mbezi Kibanda cha Mkaa.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Kamishna Jenerali wa Mamlaka hiyo James Kaji amesema watuhumiwa hao wamekuwa wakifanya biashara hiyo kwa muda mrefu nchini na kwamba Mamlaka imefanikiwa kukamatwa kutokana na jitihada ushirikiano uliopo kati ya nchi yetu na nchi nyingine katika kupambana na tatizo la dawa za kulevya duniani kutokana na utaratibu wa kubadirishana taarifa ambazo husaidia kurahisha ukamataji huo.
“Baada ya kupata taarifa kutoka kwa vyombo mbalimbali vya usalama ndani na nje ya nchi tulianza kuwafuatilia toka tarehe nane na kufanikiwa kuwaweka mtegoni tangu wakiwa wanateremsha mzigo na kufanikiwa kuwakamata.
"Pia watuhumiwa hao walikuwa wamefanya maandalizi ya kupokea mzigo huo kwa kujenga tenki la maji machafu ambalo liliwekwa chemba juu ya kuhifadhia dawa hizo na bahati mbaya mzigio uliwahi kufika kabla tenki halijakamilika, hivyo kulazimika kuzihhifadhi ndani ya nyumba,"amesema Kamishna Kaji.
Ametumia nafasi hiyo kutoa rai kwa wananchi kuunga mkono jitihada za Serikali katika kupambana na biashara ya dawa za kulevya kwa ajili ya kuokoa maisha ya watanzania kwa kutoa taarifa pale wanapoona matukio yasiyo ya kawaida kwa usalama.
“Kilo hizi ni nyingi sana zingeingia mtaani zingeathiri nguvu kazi ya vijana wetu huko mitaani kwa kiasi kikubwa. Ninasikitika kuona bado kuna watu wasio na utu wanaendelea kujitafutia kipato kwa njia hii haramu bila kujali. Ninatoa rai kwa watanzania walio tayari kuwapambania watoto wao kuendelea kushirikiana na Mamlaka kuwafichua watu hawa bila woga," amefafanua.
Ameongeza kuwa watuhumiwa wako mikononi mwa Mamlaka na watafikishwa mahakamani mara baada ya taratibu kukamilika ili sheria ichukue mkondo wake.
View attachment 1420830
Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya wakiwa chini ya ulinzi baada ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kuwanasa jijini Dar es Salaam.
View attachment 1420832
Yani nimeshangaa sana... babake kafariki Jan. mwaka huu. Mshkaji alikuwa haoneshi kama anacheza hii mchezo hasa ukizingatia alikuwa na ajira Agakhan University.Pole sana. Huyo mtoto wa marehemu Prof. Mbele naye anauza ngada
Ndoa ndoano. Ukiangalia sana shida inaanza wapiYani nimeshangaa sana... babake kafariki Jan. mwaka huu. Mshkaji alikuwa haoneshi kama anacheza hii mchezo hasa ukizingatia alikuwa na ajira Agakhan University.
Report haraka kituo Cha polisi Oysterbay utaukuta ujumbe wako.Kilo moja ya heroin ni wastani wa millioni 50,kila Mia 270 ni billioni 1.3.....huo ni mzigo mkubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa enzi za Baba... Wangekuwa haera muda mrefu sana bila hata kerere.. Shujaa tunakukumbuka sana😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿☝️MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya jana tarehe 15 April 2020, imefanikiwa kumkamata kigogo wa dawa za kulevya raia wa Nigeria Kanayo David Chukwu (39) mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam.
Pia inawashikilia raia wawili wa Tanzania Alistair Amon Mbele(38) ambaye ni mkutubi wa Chuo Kikuu cha Aga Khan jijini Dar es Salaam, mkazi wa Mbezi Kibanda cha Mkaa na Isso Romward Lupembe (49) ambaye ni mkazi wa Mbezi Louis na Changanyikeni jijini.
Watuhumiwa wamekamatwa na dawa za kulevya aina ya heroin zinazokadiliwa kuwa na zaidi ya kilogramu 270 zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye moja ya nyumba iliyopo Mbezi Kibanda cha Mkaa.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Kamishna Jenerali wa Mamlaka hiyo James Kaji amesema watuhumiwa hao wamekuwa wakifanya biashara hiyo kwa muda mrefu nchini na kwamba Mamlaka imefanikiwa kukamatwa kutokana na jitihada ushirikiano uliopo kati ya nchi yetu na nchi nyingine katika kupambana na tatizo la dawa za kulevya duniani kutokana na utaratibu wa kubadirishana taarifa ambazo husaidia kurahisha ukamataji huo.
“Baada ya kupata taarifa kutoka kwa vyombo mbalimbali vya usalama ndani na nje ya nchi tulianza kuwafuatilia toka tarehe nane na kufanikiwa kuwaweka mtegoni tangu wakiwa wanateremsha mzigo na kufanikiwa kuwakamata.
"Pia watuhumiwa hao walikuwa wamefanya maandalizi ya kupokea mzigo huo kwa kujenga tenki la maji machafu ambalo liliwekwa chemba juu ya kuhifadhia dawa hizo na bahati mbaya mzigio uliwahi kufika kabla tenki halijakamilika, hivyo kulazimika kuzihhifadhi ndani ya nyumba,"amesema Kamishna Kaji.
Ametumia nafasi hiyo kutoa rai kwa wananchi kuunga mkono jitihada za Serikali katika kupambana na biashara ya dawa za kulevya kwa ajili ya kuokoa maisha ya watanzania kwa kutoa taarifa pale wanapoona matukio yasiyo ya kawaida kwa usalama.
“Kilo hizi ni nyingi sana zingeingia mtaani zingeathiri nguvu kazi ya vijana wetu huko mitaani kwa kiasi kikubwa. Ninasikitika kuona bado kuna watu wasio na utu wanaendelea kujitafutia kipato kwa njia hii haramu bila kujali. Ninatoa rai kwa watanzania walio tayari kuwapambania watoto wao kuendelea kushirikiana na Mamlaka kuwafichua watu hawa bila woga," amefafanua.
Ameongeza kuwa watuhumiwa wako mikononi mwa Mamlaka na watafikishwa mahakamani mara baada ya taratibu kukamilika ili sheria ichukue mkondo wake.
View attachment 1420830
Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya wakiwa chini ya ulinzi baada ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kuwanasa jijini Dar es Salaam.
View attachment 1420832
Hawa walikamatwa 2020 mbonaIngekuwa enzi za Baba... Wangekuwa haera muda mrefu sana bila hata kerere.. Shujaa tunakukumbuka sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji3516]
Hivi kesi hii iliishia wapi mkuu? Kwa walivotoka toka kipindi hiki huyu mpopo atakuwa korokoroni kweli?Hawa walikamatwa 2020 mbona
Ova
Wako jela bado hawaHivi kesi hii iliishia wapi mkuu? Kwa walivotoka toka kipindi hiki huyu mpopo atakuwa korokoroni kweli?
Mngekuwa mnatuwekea na picha za kina Ridhiwani wakati kakamatwa China na kufungwa kitanzi cha kunyongwa, ingesaidia sana.MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya jana tarehe 15 April 2020, imefanikiwa kumkamata kigogo wa dawa za kulevya raia wa Nigeria Kanayo David Chukwu (39) mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam.