Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Inside10,
Huyu mtoto wa marehemu Prof Mbele,si alikuwa anafanya kazi UDSM aliondoka kumbe yupo Aghakani. Mshahara haumtoshi ?Si afanye biashara halali ?Sasa sheria ichukue mkondo wake.
Tamaa n kitu cha hovyo sana,halafu watu wa namna hii ukikutana nao,utaskia wanakwambia hivi wewe unaishije na hicho kimshahara chako?!,wanaboa sana na ndo chanzo cha kuwaingiza na kuwashawishi wengine mavichwa panzi kwenye mishe za hivi,sheria ichukue mkondo wake.

Sent from Nokia 7 Plus
 
For my son, kasoma vzr tu, he has degree of account's and postgraduate ya ualimu.

Aweza kaa vzr na ni mwalimu mzuri wa hesabu, aweza badilika ala unga akijishtukia aenda soba house, yaani kama hivyo.

Aliyesema huko juu sijakaa naye ni wrong, na niko karibu na wanangu na all are my friends.

So naendelea na maombi najua hilo ni jaribu ila God ni Mkuu kwa yote.


Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Unajua watanzania wengi huwa wanatoa majibu bila kutafakari. Kuna watu ambao hawakutegemewa kabisa wamekuja kujiingiza kwenye utumiaji wa madawa ya kulevya. Mjomba wangu alikuwa na kijana wake na alikuwa na akili tu kipindi anasoma sekondari. Baada ya kumaliza shule akajiingiza kwenye makundi mabaya na kuanza kujichoma sindano za madawa. Baada ya kuhangaika sana akaacha lakini ilikuwa too late kwani alijapata maradhi ya kansa ya damu (bila shaka ni kutokana na mazingira machafu ya kujidunga na kupokezana sindano) na kufariki.
 
Wakuu..hivi wakishakamata zigo kama hilo wanalipeleka wapi? Ilikwishatokea wakiwa wanateketeza huwa wanatuonesha au kututangazia?
 
Back
Top Bottom