Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Kwa mzigo mkubwa kama huu kuingizwa nchini bila kukamatwa mpakan, bandarini au Uwanja wa ndege (popote ulipopitia) ina maanisha kuwa njia za kuingilia hapa nchini zina matobo na zinavuja (polous). Inshallah wamewakamata.
 
Yani nimeshangaa sana... babake kafariki Jan. mwaka huu. Mshkaji alikuwa haoneshi kama anacheza hii mchezo hasa ukizingatia alikuwa na ajira Agakhan University.
Ndoa ndoano. Ukiangalia sana shida inaanza wapi
 
Ingekuwa enzi za Baba... Wangekuwa haera muda mrefu sana bila hata kerere.. Shujaa tunakukumbuka sana😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿☝️
 
Ingekuwa enzi za Baba... Wangekuwa haera muda mrefu sana bila hata kerere.. Shujaa tunakukumbuka sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji3516]
Hawa walikamatwa 2020 mbona

Ova
 
Mngekuwa mnatuwekea na picha za kina Ridhiwani wakati kakamatwa China na kufungwa kitanzi cha kunyongwa, ingesaidia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…