Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Mkuu tulia,yawezekana ametumiwa tu na system kufikia malengo yakumnasa mtuhumiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
yote heri. ila wamekosea kumjumuisha katika picha. amegeuka kuwa center of discussion wa tukio zima.

kwa sisi ambao kidogo tunauelewa wa maswala haya, asset/informat hawi exposed, kwasababu kwa kufanya hivyo unamuweka katika hatari yeye na familia yake.

mitandao mikubwa ya wauza dawa za kulevya sio watu wa mchezo mchezo, wakigundua ulitumika kuwaharibia deal lao, wanaweza kutuma watu wamteke baba yako, mama yako, mkeo au watoto wako halafu wakachinjwa kama kuku.
 
Wanadai enzi za Riz1 the Prince yeye alikuwa anacheza tu na Heroine hataki hata cocaine
 
Back
Top Bottom