Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Wauwaji hawaHuman trafficking pia wamo. Kuna documentary ya mabinti wa kiafrica wanapelekwa india kujiuza na mkuu wa issue nzima alikuwa mnaija... Ni risk takers hawa binadamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauwaji hawaHuman trafficking pia wamo. Kuna documentary ya mabinti wa kiafrica wanapelekwa india kujiuza na mkuu wa issue nzima alikuwa mnaija... Ni risk takers hawa binadamu
😠😠 😠sio watu wazur kabisaNa nguvu za giza zilizoshindikana
usiseme hivyo ndg.Malezi yako mabovu ndiyo yaliyochangia kumharibu mwanao, usisingizie wauzaji wa madawa.
Hongera sana Mamlaka. Chapa KaziMAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya jana tarehe 15 April 2020, imefanikiwa kumkamata kigogo wa dawa za kulevya raia wa Nigeria Kanayo David Chukwu (39) mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam.
Pia inawashikilia raia wawili wa Tanzania Alistair Amon Mbele(38) ambaye ni mkutubi wa Chuo Kikuu cha Aga Khan jijini Dar es Salaam, mkazi wa Mbezi Kibanda cha Mkaa na Isso Romward Lupembe (49) ambaye ni mkazi wa Mbezi Louis na Changanyikeni jijini.
Watuhumiwa wamekamatwa na dawa za kulevya aina ya heroin zinazokadiliwa kuwa na zaidi ya kilogramu 270 zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye moja ya nyumba iliyopo Mbezi Kibanda cha Mkaa.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Kamishna Jenerali wa Mamlaka hiyo James Kaji amesema watuhumiwa hao wamekuwa wakifanya biashara hiyo kwa muda mrefu nchini na kwamba Mamlaka imefanikiwa kukamatwa kutokana na jitihada ushirikiano uliopo kati ya nchi yetu na nchi nyingine katika kupambana na tatizo la dawa za kulevya duniani kutokana na utaratibu wa kubadirishana taarifa ambazo husaidia kurahisha ukamataji huo.
“Baada ya kupata taarifa kutoka kwa vyombo mbalimbali vya usalama ndani na nje ya nchi tulianza kuwafuatilia toka tarehe nane na kufanikiwa kuwaweka mtegoni tangu wakiwa wanateremsha mzigo na kufanikiwa kuwakamata.
"Pia watuhumiwa hao walikuwa wamefanya maandalizi ya kupokea mzigo huo kwa kujenga tenki la maji machafu ambalo liliwekwa chemba juu ya kuhifadhia dawa hizo na bahati mbaya mzigio uliwahi kufika kabla tenki halijakamilika, hivyo kulazimika kuzihhifadhi ndani ya nyumba,"amesema Kamishna Kaji.
Ametumia nafasi hiyo kutoa rai kwa wananchi kuunga mkono jitihada za Serikali katika kupambana na biashara ya dawa za kulevya kwa ajili ya kuokoa maisha ya watanzania kwa kutoa taarifa pale wanapoona matukio yasiyo ya kawaida kwa usalama.
“Kilo hizi ni nyingi sana zingeingia mtaani zingeathiri nguvu kazi ya vijana wetu huko mitaani kwa kiasi kikubwa. Ninasikitika kuona bado kuna watu wasio na utu wanaendelea kujitafutia kipato kwa njia hii haramu bila kujali. Ninatoa rai kwa watanzania walio tayari kuwapambania watoto wao kuendelea kushirikiana na Mamlaka kuwafichua watu hawa bila woga," amefafanua.
Ameongeza kuwa watuhumiwa wako mikononi mwa Mamlaka na watafikishwa mahakamani mara baada ya taratibu kukamilika ili sheria ichukue mkondo wake.
View attachment 1420830
Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya wakiwa chini ya ulinzi baada ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kuwanasa jijini Dar es Salaam.
View attachment 1420832
oi nataka mikapange chumba kinondoni niishi japo miezi sita ili nizione vurugu za kinondoni.sehemu gani nzuri pa kishua kidogo naweza pata chumba kizuri
Nimeshangaa dogo mtoto wa Prof anauza ganda ?Inasikitisha.
Nimeshituka sana,huyo mdogo wangu nikiwa Dar tulikuwa tunacheza naye kikapu ARU pale. Namsikitikia dada yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini haiwezi kushep tabia ya mtu bali, usimamizi na uwalimu mzuri wa kumuonesha mtoto hadi awe kijana mambo mazuri na mabaya anayotakiwa kuepuka, hebu niambie shekhe ana wake wangapi na wanawatoto wangapi je anakaa na vijana au watoto wake kuwakanya mambo ya hovyo ya dunia?usiseme hivyo ndg.
sio vijana wote wanaoingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya walipata malezi mabavu toka kwa wazazi wao.
miaka kadhaa iliyopita, mtoto wa sheikh mmoja maarufu jijini dar, aliingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya. alilelewa katika misingi na maadili yote muhimu ya kidini na alitimiziwa kila hitaji lake, ila mwisho wa siku akaishia kuwa teja.
kwani hao watoto wenu huwa wanashikiwa panga ili warambe hayo maunga?Wanaigeria bongo wanatutesea watoto wetu
Jibu baya sana hili...hakuna mzazi anayependa mtoto aharibike....kuna age huwezi kumcontrol...Malezi yako mabovu ndiyo yaliyochangia kumharibu mwanao, usisingizie wauzaji wa madawa.
Kuna watu walishaathirika na madawa ya kulevya ukifuatilia utagundua kuwa malezi ya wazazi yalikuwa siyoJibu baya sana hili...hakuna mzazi anayependa mtoto aharibike....kuna age huwezi kumcontrol...
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo block 41oi nataka mikapange chumba kinondoni niishi japo miezi sita ili nizione vurugu za kinondoni.sehemu gani nzuri pa kishua kidogo naweza pata chumba kizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh hawatokiHivi polisi na jamaa zao pale mahakaman wameacha ile michezo yao? Sitashangaa jamaa wakirudi punde kitaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama uko kazini sio hivi dada, sometimes uwe unatumia hata masikio kama kama akili zote zimefungiwa kwenye kabatiKuna chama cha siasa Tanzania huwa kinatetea kila aina ya uovu wanaalama ya vidole viwili
Sent using Jamii Forums mobile app
Maharage si kama nyama tu maana ni protini ile ile. Hata rangi ni kama maini.Segerea wanakula ugali nyama asubuhi na jioni?
Dini haiwezi kushep tabia ya mtu bali.