Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Huyo mzigo ni wapesa nyingi sio wao hao mapusha tu nakwambia jauendi na maji huo lazima itapigwa plea bargaining si unajua mshua yeye zake money tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kg270 duh hatari sana, mbona wahusika na mazingira yao hawafanani na kumiliki hizi 270kg..
 
usiseme hivyo ndg.
sio vijana wote wanaoingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya walipata malezi mabavu toka kwa wazazi wao.

miaka kadhaa iliyopita, mtoto wa sheikh mmoja maarufu jijini dar, aliingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya. alilelewa katika misingi na maadili yote muhimu ya kidini na alitimiziwa kila hitaji lake, ila mwisho wa siku akaishia kuwa teja.
How sure are you??? Mahitaji ya mtoto ni zaidi ya chakula kizuri na malazi.

Wazazi/walezi wengi wanafeli kwenye kuhakikisha watoto wao wako owwkey psychologically. Ukiangalia watu wengi wanaojiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya huwa na matatizo ambayo ni Psychological & emotional more than anything else. Hata wale ambao hujiingiza tu kwa ushawishi(bendera fuata upepo) huwa wana-lack self-esteem & the confidence to make their own decisions bila kujali ushawishi wa nje, peer pressure and so so.
 
Hongera kwa kulea watoto wako vizuri mkuu, suala la malezi lina mambo mengi, katika hatua fulani linahusisha mtoto mwenyewe, mzazi na jamii pia. hujawahi kuona familia ya watoto wa nne, watatu wana maadili mmoja ameshindikana kabisa, Hilo pia unalisemeaje? Kwamba wengine walilelewa vizuri huyu mwingine aliachwa?

Be realistic, haufahamu kuwa kuna mitaa watoto wanaokua huwekwa kwenye target kwa namna yoyote ili wanaswe wawe wateja? Kuwa serious kidogo kujadili mambo wide kwa mtazamo finyu.
Umeandika point Sana
 
How sure are you??? Mahitaji ya mtoto ni zaidi ya chakula kizuri na malazi.

Wazazi/walezi wengi wanafeli kwenye kuhakikisha watoto wao wako owwkey psychologically. Ukiangalia watu wengi wanaojiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya huwa na matatizo ambayo ni Psychological & emotional more than anything else. Hata wale ambao hujiingiza tu kwa ushawishi(bendera fuata upepo) huwa wana-lack self-esteem & the confidence to make their own decisions bila kujali ushawishi wa nje, peer pressure and so so.
Sio kweli
 
Back
Top Bottom