Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

Kuna familia nazifaham watoto malezi mazuri kabisa mmoja kaenda kusoma India karudi teja. Mwingine kaenda Malaysia karudi punga.
Kuna kipindi nadhani miaka ya 2000 mwanzoni, wazazi wenye vipato vya kati na vikubwa walioeleka sana vijana wao kwenda kusoma Uganda na Kenya lakini wengi wao waliishia kuwa wabwia unga, nilichogundua ni kuwa wazazi walikuwa bize kusaka noti watoto wao shule zikawashinda hapa Tz wakawa wansingizia mazingira mabovu ya kusoma na elimu ngumu, Wazazi tujitahidi kuchunguza sana watoto wetu haswa umri wa kuanzia miaka 15-23 unachangamoto sana kwa vijana
 
Wakati huo waliomaliza nje na kuongea kiingereza kizuri walipata kazi nzuri kuliko kanumba. So si kweli wazazi kuwa bize ndio sababu ya wao kupeleka watoto nje. Wengine walijinyima watoto wao wakasome nje.
Na vyuo binafsi vilikuwa vichache na wazazi walitaka watoto wapate exposure so wakajinyima wakapeleka vyuo india, malaysia nk
 
Sijasema wote ndo maana nimepoint inchi 2 ambazo vijana wameenda na baadhi wakaishia kuwa wabwia unga
 
Hoja kuu ni kulaumu wazazi kwa watoto wao kubwia unga. Mi nakubaliana na wale wanaosema kuna wakati mzazi si wa kulaumiwa sababu anakosa control (mfano mwanae akiwa shule za bweni au chuoni mbali na nyumbani). We unasema mzazi abebe lawama.
 
wazazi wanachangia kuharibika watoto, nakumbuka nilivyoanza kuvuta bangi niko form two kwa ajili ya stress za familia.
 
Huyo jamaa tukikua tunamuheshim sana hapa mtaana kumbe hafai kabisa...yan wala hatukutegemea kama anafanya hizi kazi
 
Back
Top Bottom