Dar: Watu wanne wa familia moja wafariki baada ya kuvuta hewa chafu ya jenereta

hakuna kitu kama hicho fanyeni uchunguzi vizuri moshi peke yake wa generator hauwezi kuua mtu simple hivo …
yaani mpaka mtu anazidiwa anashindwa kupumua ashindwe hata kutoka nje ya nyumba ili avute hewa safi?

Polisi kuweni serious bhana
 
Hao watakuwa siyo wabongo asilia
Mbongo asilia afe hivyo ni ngumu

Any way poleni wafiwa

Ova
 
Hii kitu inatokeaga sana,sehemu za baridi
Nilikuwa naendaga sana milima ya usambara juu huko kna baridi ,usiku mkiwa ndani mnaletewa kuni iliyowashwa sasa unakuta wengine kuni inawashwa ndani na dirisha anafunga ,hapo lzm mtu akauke

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…