Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Kwanza hawa viruka njia unatakiwa uhonge kitu utachosahau, pili hawa usijenge kibanda pita chapu nenda mbele, tatu huyo dogo muuaji ni bonge la fala sijawahi kuona
Yap yani gharama zote utakazotoa uone ni kama sadaka tu
 
Sio biti,pengine wamelipwa mgao wa mauzo ya Figo, ndugu wenyewe inaonekana kama ndugu baki tu, uchungu hawauonyeshi kiusahihi wake
Mama ake amefariki mwaka Jana hakuna mwenye uchungu hapo hao ndugu wamepigwa biti kuzuia taharuki ila wasingeropoka km ingekua uongo!!kipo kilichofanyika!
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji39]uko sahihi kabisa mkwee!hawajiaminigi hawa watu
 
Nilimwambia mtu marehemu kakaa kama wale wadada wa Tabata. Wanalala wakiamka wanawaza waende bar ipi wakadake vichwa.
Kama wala vichwa hawatajifunza kwa Barke basi tena. Sema ndo maisha yao kama biashara ya utumbo, ukiogopa nzi umelala njaa
Anaonekana yaani wale hana kazi,hana elimu kashajishukuru na alihamia tbt maana ilala kwa sasa hapanogi habari ya mjini tbt maana kumekucha mnooo...Huyo bwana alikua geresha tu!mdada anaonekana kabisaa sio wa kuishi na mume mdaka vichwa ,mjinga mmoja kaingia line ,wakati mwenziwe alitaka pakulala tu!mambo mengine hayamhusu
Wadada wa magomeni,Kinondoni,mwananyamala,buguruni,Ilala ,Kigogo manzese na uswazi kote hilo ndo life lao yaani wao hawana kazi a mda wote wazurii!
 
Polisi wameweka clear mauaji chanzo chake ni mapenzi, mambo ya figo inaonekana ni story tu.
 
Lakini, wale mnaoamini binadamu hawezi kutolewa figo kitaa na ikawa fresh, futeni hiyo kauli, Dunia ina mengi yanayojulikana na yasiyojulikana..... Figo inaweza kutolewa kwa imani za kishirikani na Figo inaweza kutolewa kwa matumizi pia kwa binadamu mwingine..

Mitaani kuna biashara nyingi chafu na ukiwa sio mtu wa kitaa huwezi kuamini kama hivyo vitu vinatokea na kufanywa...
 
Sio mtazamo wangu, kwani we huoni watu wanavyo jiuwa na kuuwa kwasababu ya wanawake, wanayo nguvu nawewe unaionapi, kama sio kwako basi kwawengine.
Labda useme hivyo, sio kwangu ni kweli upo sahihi. Pia huwezi kusema wengine wanaojiua wanashawishiwa na wanawake kujiua, mzee mbona kama umekariri mno phrases?

Logic ni ya chini mno, kwa hiyo watu kujiua kisa mapenzi ni ushawishi mkubwa walionao wanawake?! Na je, wanawake wanaouawa kisa mapenzi? Ni ushawishi mkubwa wa wanaume?

Unaweza kuweka ulinganifu kati ya nguvu kubwa ya ushawishi na kujiua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…