Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Kwanza hawa viruka njia unatakiwa uhonge kitu utachosahau, pili hawa usijenge kibanda pita chapu nenda mbele, tatu huyo dogo muuaji ni bonge la fala sijawahi kuona
Yap yani gharama zote utakazotoa uone ni kama sadaka tu
 
Sio biti,pengine wamelipwa mgao wa mauzo ya Figo, ndugu wenyewe inaonekana kama ndugu baki tu, uchungu hawauonyeshi kiusahihi wake
Mama ake amefariki mwaka Jana hakuna mwenye uchungu hapo hao ndugu wamepigwa biti kuzuia taharuki ila wasingeropoka km ingekua uongo!!kipo kilichofanyika!
 
Kuna rafiki yangu wa kiume anasemaga hatembei na mwanamke ambae wako level tofauti kijamii. Na anasemaga hata kwa wanawake pia inatakiwa kuwa hivyo. Watu wengi ambao wanajihisi wako jamii ya chini dhidi ya wapenzi huwa wako bitter na control freaks. Mfano mwanamke hana kazi anapewa kila kitu na mwanaume siku yule mwanaume akimuacha lazima mwanamke atafanya vingi vya ajabu ikiwezekana hata kujiua. Same applies kwa wanaume type ya White muuaji. Barke ni kisu haswa, white aliamini kwa pesa zake angemmliki Barke peke ake. Alishajua yeye na Barke ni jamii mbili tofauti akalazimisha kwa pesa...
White angekua ni mtu ana pesa zake asingeumia kulipa kodi eti atoe uhai sana sana angeelewa tu Barke hampendi anafanya maisha mengine.

Kwa kuandika haya ukiona mwanaume maisha yake ya kuunga unga usile pesa yake, kama humtaki bora ukae nae mbali tu. Na sio tu kula pesa hata usidate nae maana ukishadate nae utakula pesa yako na hiyo ndo itakutumbukia nyongo baadae.

Wanaume wasio na hela wanakuaga na hasira hasira na wanajua wanawake wanawakataaga kwa sababu hiyo ndo maana hata akiachwa anaona kaachwa kwa sababu hiyo kumbe mapenzi yanaishaga.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji39]uko sahihi kabisa mkwee!hawajiaminigi hawa watu
 
Nilimwambia mtu marehemu kakaa kama wale wadada wa Tabata. Wanalala wakiamka wanawaza waende bar ipi wakadake vichwa.
Kama wala vichwa hawatajifunza kwa Barke basi tena. Sema ndo maisha yao kama biashara ya utumbo, ukiogopa nzi umelala njaa
Anaonekana yaani wale hana kazi,hana elimu kashajishukuru na alihamia tbt maana ilala kwa sasa hapanogi habari ya mjini tbt maana kumekucha mnooo...Huyo bwana alikua geresha tu!mdada anaonekana kabisaa sio wa kuishi na mume mdaka vichwa ,mjinga mmoja kaingia line ,wakati mwenziwe alitaka pakulala tu!mambo mengine hayamhusu
Wadada wa magomeni,Kinondoni,mwananyamala,buguruni,Ilala ,Kigogo manzese na uswazi kote hilo ndo life lao yaani wao hawana kazi a mda wote wazurii!
 
Uhai wa binadamu kwa 1.7m dunia imekwisha.
Mimi nakutumia huyu Baunsa mnyonga shingo aje kufanya kazi yake kwa kuwa unanigonganisha sana na Babu Asprin😁😁😁Tayari nimeshamlipa adavance😁
a7a11d.jpg
IAAOLYI.jpg
 
Polisi wameweka clear mauaji chanzo chake ni mapenzi, mambo ya figo inaonekana ni story tu.
 
Lakini, wale mnaoamini binadamu hawezi kutolewa figo kitaa na ikawa fresh, futeni hiyo kauli, Dunia ina mengi yanayojulikana na yasiyojulikana..... Figo inaweza kutolewa kwa imani za kishirikani na Figo inaweza kutolewa kwa matumizi pia kwa binadamu mwingine..

Mitaani kuna biashara nyingi chafu na ukiwa sio mtu wa kitaa huwezi kuamini kama hivyo vitu vinatokea na kufanywa...
 
Sio mtazamo wangu, kwani we huoni watu wanavyo jiuwa na kuuwa kwasababu ya wanawake, wanayo nguvu nawewe unaionapi, kama sio kwako basi kwawengine.
Labda useme hivyo, sio kwangu ni kweli upo sahihi. Pia huwezi kusema wengine wanaojiua wanashawishiwa na wanawake kujiua, mzee mbona kama umekariri mno phrases?

Logic ni ya chini mno, kwa hiyo watu kujiua kisa mapenzi ni ushawishi mkubwa walionao wanawake?! Na je, wanawake wanaouawa kisa mapenzi? Ni ushawishi mkubwa wa wanaume?

Unaweza kuweka ulinganifu kati ya nguvu kubwa ya ushawishi na kujiua?
 
Back
Top Bottom