Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hakuna wewe!Akisha kuvutia kumkula tu,. Ndo kwisha habari yako.
Kwani wadhani wengine wamevu tiwa na Nini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wewe!Akisha kuvutia kumkula tu,. Ndo kwisha habari yako.
Kwani wadhani wengine wamevu tiwa na Nini!
Yap yani gharama zote utakazotoa uone ni kama sadaka tuKwanza hawa viruka njia unatakiwa uhonge kitu utachosahau, pili hawa usijenge kibanda pita chapu nenda mbele, tatu huyo dogo muuaji ni bonge la fala sijawahi kuona
Mama ake amefariki mwaka Jana hakuna mwenye uchungu hapo hao ndugu wamepigwa biti kuzuia taharuki ila wasingeropoka km ingekua uongo!!kipo kilichofanyika!Sio biti,pengine wamelipwa mgao wa mauzo ya Figo, ndugu wenyewe inaonekana kama ndugu baki tu, uchungu hawauonyeshi kiusahihi wake
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji39]uko sahihi kabisa mkwee!hawajiaminigi hawa watuKuna rafiki yangu wa kiume anasemaga hatembei na mwanamke ambae wako level tofauti kijamii. Na anasemaga hata kwa wanawake pia inatakiwa kuwa hivyo. Watu wengi ambao wanajihisi wako jamii ya chini dhidi ya wapenzi huwa wako bitter na control freaks. Mfano mwanamke hana kazi anapewa kila kitu na mwanaume siku yule mwanaume akimuacha lazima mwanamke atafanya vingi vya ajabu ikiwezekana hata kujiua. Same applies kwa wanaume type ya White muuaji. Barke ni kisu haswa, white aliamini kwa pesa zake angemmliki Barke peke ake. Alishajua yeye na Barke ni jamii mbili tofauti akalazimisha kwa pesa...
White angekua ni mtu ana pesa zake asingeumia kulipa kodi eti atoe uhai sana sana angeelewa tu Barke hampendi anafanya maisha mengine.
Kwa kuandika haya ukiona mwanaume maisha yake ya kuunga unga usile pesa yake, kama humtaki bora ukae nae mbali tu. Na sio tu kula pesa hata usidate nae maana ukishadate nae utakula pesa yako na hiyo ndo itakutumbukia nyongo baadae.
Wanaume wasio na hela wanakuaga na hasira hasira na wanajua wanawake wanawakataaga kwa sababu hiyo ndo maana hata akiachwa anaona kaachwa kwa sababu hiyo kumbe mapenzi yanaishaga.
Anaonekana yaani wale hana kazi,hana elimu kashajishukuru na alihamia tbt maana ilala kwa sasa hapanogi habari ya mjini tbt maana kumekucha mnooo...Huyo bwana alikua geresha tu!mdada anaonekana kabisaa sio wa kuishi na mume mdaka vichwa ,mjinga mmoja kaingia line ,wakati mwenziwe alitaka pakulala tu!mambo mengine hayamhusuNilimwambia mtu marehemu kakaa kama wale wadada wa Tabata. Wanalala wakiamka wanawaza waende bar ipi wakadake vichwa.
Kama wala vichwa hawatajifunza kwa Barke basi tena. Sema ndo maisha yao kama biashara ya utumbo, ukiogopa nzi umelala njaa
Imekwisha kabisa. Tunamalizana tu.Uhai wa binadamu kwa 1.7m dunia imekwisha.
Uhai wa binadamu kwa 1.7m dunia imekwisha.
Usiseme kijumla jumla namna hiyo!Uhai wa binadamu hauna price tag! Hata iweje!
hahahahhahaAngalau bei gani hivi?
Nasisitiza acheni tamaa ya kula vya watu. Sio kila mtu anaweza kuvumilia kuliwa pesa yake bure. !!Ni sawa tutaacha tamaa na nyinyi acheni kuwekeza sehemu ambayo hampendwi
Waswahili wanasema tamaa mbele mauti nyuma.Eti jaman...hlf kakutana na mtu baa day 1....huyo guest kwenda kuliwa[emoji849]
So white alijua tabia za huyu demu
Ila asingemuua...
Nasisitiza acheni kutumia pesa kama njia ya kumtuliza MwanamkeNasisitiza acheni tamaa ya kula vya watu. Sio kila mtu anaweza kuvumilia kuliwa pesa yake bure. !!
Mimi sikunyang'anyi chochote kwani huduma niliyopata niliridhika. Ni utoto hao vijana wamefanya Sasa wamekosa vyote NI kwenda liwa Gerezani maishaNasisitiza acheni kutumia pesa kama njia ya kumtuliza Mwanamke
Mimi nakutumia huyu Baunsa mnyonga shingo aje kufanya kazi yake kwa kuwa unanigonganisha sana na Babu Asprin😁😁😁Tayari nimeshamlipa adavance😁Uhai wa binadamu kwa 1.7m dunia imekwisha.
Duuuuh!One bitch down,more to come.
Labda useme hivyo, sio kwangu ni kweli upo sahihi. Pia huwezi kusema wengine wanaojiua wanashawishiwa na wanawake kujiua, mzee mbona kama umekariri mno phrases?Sio mtazamo wangu, kwani we huoni watu wanavyo jiuwa na kuuwa kwasababu ya wanawake, wanayo nguvu nawewe unaionapi, kama sio kwako basi kwawengine.