Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
1.7 mil
I'm jus thinking aloud[emoji848]
I'm jus thinking aloud[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli marehemu alikua kicheche ka alotongozwa na huyo baunsa na akakubali kulala nae kashesheKuna habari Ililetea humu kwamba kuna Mwanamke aliuwawa tarehe 1.1.2022 maeneo ya Tabata Segerea na kutolewa figo.
Jeshi la polisi limewakamata watuhumiwa 2 waliokiri kuhusika na mauaji hayo.
Angekua ndugu yako amefanyiwa huu ukatili sidhani kama ungeandika upuuziHuyo marehemu alikuwa maharage ya Mbeya sana, hao vijana wa kiume wasamehewe na kuachiwa mara moja.
Mbona kwenye link Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe wamesema imeshauriwa picha iondolewe vipi hapa imewekwa tenaJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aitwaye Barke Rashid, aliyeuawa Januari Mosi, 2022, akiwa guest maeneo ya Tabata, ambapo mmoja amekiri kutekeleza unyama huo baada ya kuahidiwa shilingi milioni 1.7
Kama kaleta mambo ya kingese ufanyaje sasa? Unapangia mwanamke nyumba na kumpa kila kitu still analeta upuuzi😅?Unaanzaje kumuua bin adam mwenzako...
Alitongozwa akapelekwa guest kisha kuchezea kabali ya mbaoBarke Rashidi alikuwa Guest mwenyewe?
Naunga mkono hojaHuyo marehemu alikuwa maharage ya Mbeya sana, hao vijana wa kiume wasamehewe na kuachiwa mara moja.
Hajatolewa kiungo chochoteNa wanawake walivyokuwa na tamaa siku hzi
Kwa style hii ya kungoa viungo vya binadam
Wataumizwa sana
Ova
Hakuna kiungo chochote alichoondolewaLakini mchakato mzima wa kutoa kiungo chochote cha mwili iwe figo, ini, moyo najua lazima awepo specialist na ni operations sio ndogo.
Kama kaleta mambo ya kingese ufanyaje sasa? Unapangia mwanamke nyumba na kumpa kila kitu still analeta upuuzi😅?
Hahahaahahahah upigwe mzinga mmoja wa heshima kwa hii commentHuyo marehemu alikuwa maharage ya Mbeya sana, hao vijana wa kiume wasamehewe na kuachiwa mara moja.
Still.......Hizo figo uwezekano mkubwa imetolewa kwenye hizo hopsitali baada ya kugundua maiti haina wenyewe.
Alipangiwa kufa hivyo na nani?Watu hawajifunzi kabisa. Ni nadra kuua mtu halafu ukabahatika usijulikane na kukamatwa. Utashikwa tu hata kwenye nchi maskini mifumo ya ya Sheria ni dhaifu.
Ila alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa kwa iyo ni kuomba na wewe usipangiwe kutekeleza mauaji mtu mwengine alipangiwa pindi tu alipozaliwa.
Labda hawataki kuangalia hiyo video. Bajeti ya MBMbaya zaidi ni kuona wakongwe wakizirudia hizo habari za figo kunyofolewa!
JF imeshuka sana viwango aisee!
Ndugu wa marehemu wamehojiwa na vyombo vya habari. Ndugu hao ndiyo walioukagua mwili wa marehemu. Wao hawajaona chochote kinachoashiria alinyofolewa figo.
Halafu bado wapo wanaodai alinyofolewa figo.
WTF!!