Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Kuna habari Ililetea humu kwamba kuna Mwanamke aliuwawa tarehe 1.1.2022 maeneo ya Tabata Segerea na kutolewa figo.

Jeshi la polisi limewakamata watuhumiwa 2 waliokiri kuhusika na mauaji hayo.
Kweli marehemu alikua kicheche ka alotongozwa na huyo baunsa na akakubali kulala nae kasheshe
 
Uhai wa binadamu kwa 1.7m dunia imekwisha.

IMG-20220125-WA0035.jpg
 
Watu hawajifunzi kabisa. Ni nadra kuua mtu halafu ukabahatika usijulikane na kukamatwa. Utashikwa tu hata kwenye nchi maskini mifumo ya ya Sheria ni dhaifu.

Ila alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa kwa iyo ni kuomba na wewe usipangiwe kutekeleza mauaji mtu mwengine alipangiwa pindi tu alipozaliwa.
Alipangiwa kufa hivyo na nani?
 
Mbaya zaidi ni kuona wakongwe wakizirudia hizo habari za figo kunyofolewa!

JF imeshuka sana viwango aisee!

Ndugu wa marehemu wamehojiwa na vyombo vya habari. Ndugu hao ndiyo walioukagua mwili wa marehemu. Wao hawajaona chochote kinachoashiria alinyofolewa figo.

Halafu bado wapo wanaodai alinyofolewa figo.

WTF!!
Labda hawataki kuangalia hiyo video. Bajeti ya MB
 
Back
Top Bottom