Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Angemjengea nyumba na kumnunuli gari na kumfungulia biashara angejiua na yeye akii
Wanaume kama kuhonga hamuwezi acheni tu vitu vidogo tu hivyo unaua mtu
imekuuma eeeeeh?, kama unachembechembe za hivo vitabia ndo uache, watu wapo siriaz mnaleta masighara na kugharamikiwa kote huko. Ohoooooooooooooo!!!!!! wee endelea tu.
 
Mlitarajia polisi waseme kua katolewa figo?serious nchii hii askari hawa sijawahi waamini asilani,naamini kabisa huyu Dada amefanyiwa ukatili wa kutisha..Uzuri wa maiti za kiislamu zinakafiniwa na hapo ndo unajua km nduguyo yuko salama na viungo vyote au laah!hao ndugu wamepigwa biti wasiseme tu!ila mi naona kweli unyama umefanyika
 
Mbona taarifa ya Polisi na ya mleta mada sijaona mahali walipoelezea Barke katolewa figo? nimeona ni wivu wa mapenzi ndio chanzo. Na ndugu wa marehemu walihakikisha mwili haukuguswa
NI hayo tu

Inaonesha zilikuwa ni rumours tu kutoka kwa 'mnyetishaji' wa mwanzo, check convo yangu na Nyani Ngabu
 
Acha upoyoyo Mungu hampangii mtu kufa gesti/ajalini/wala popote pale, bali anayajua ya mbele yako. Tumia ubongo wako vema. Nyie ndio mnatakiwa m-donate..(joke)
Logical implication ya ulichokisema ni kwamba ‘tumepangiwa’ , sababu the only way unaweza kujua kitakachotokea ni if ‘imepangwa tayari kuwa hivyo’. Huwezi kujua kwamba sherehe za uhuru ni 9th december unless muwe mmepanga hivyo.
 
Hilo baunsa jinga sana mtoto mzuri namnaile lina muua!!.

Ningekuwa mimi ningechukua ela ninge kula tamu alaf namwambia oyaa tayari nimesha uwa tumapesayangu iliyo baki haraka kabla sijakufata na wewe.

Nachkua albakiyangu alaf namwambia dem poa baby see you next time.

Jinga sana hili bounsa.
 
Back
Top Bottom