Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona polisi kwenye taarifa yao hawajasema kama alitolewa figo? Kuna majitu ya ajabu ajabu sana hapa JFSio moyo ni Figo
imekuuma eeeeeh?, kama unachembechembe za hivo vitabia ndo uache, watu wapo siriaz mnaleta masighara na kugharamikiwa kote huko. Ohoooooooooooooo!!!!!! wee endelea tu.Angemjengea nyumba na kumnunuli gari na kumfungulia biashara angejiua na yeye akii
Wanaume kama kuhonga hamuwezi acheni tu vitu vidogo tu hivyo unaua mtu
Una kichwa kigumu mkuuBarke Rashidi alikuwa Guest mwenyewe?
Kabisa ingawa kuua mtu ni kosa ila huyu marehemu anaonekana alikua mjanja mjanja Sana'a watoto wa ilala hao!kimaslahi zaidi!Wanawake jmn turidhike tu
Nani katolewa figo?Kama ni wivu wa mapenzi kutolewa figo kumeingiaje?
Mbona taarifa ya Polisi na ya mleta mada sijaona mahali walipoelezea Barke katolewa figo? nimeona ni wivu wa mapenzi ndio chanzo. Na ndugu wa marehemu walihakikisha mwili haukuguswaHuyo binti marehemu...
Inaonesha aliuawa ndani ya guest house, then wakachugua figo
Hii habari imebadilishwa heading,na ikaunganishwa na uzi mwingine,mwanzo habari ilisema "Watuhumiwa walioua mwanamke kwa wivu wa mapenzi na kumtoa figo wakamatwa"ndio maana utaona watu wengi wamehoji kuhusu figo.Nani katolewa figo?
Its against ur natureWanawake jmn turidhike tu
Mbona taarifa ya Polisi na ya mleta mada sijaona mahali walipoelezea Barke katolewa figo? nimeona ni wivu wa mapenzi ndio chanzo. Na ndugu wa marehemu walihakikisha mwili haukuguswa
NI hayo tu
Hayo maelezo mbona mi sijawahi kuyasikia? Umeyatoa wapi?Ngoja nkuelimishe kidogo mimi mwenyewe ni muuguzi unatolewaje figo bla kuacha alama kwenye mwili? Na ndugu walipewa ruhusa ya kukagua mwl
Logical implication ya ulichokisema ni kwamba ‘tumepangiwa’ , sababu the only way unaweza kujua kitakachotokea ni if ‘imepangwa tayari kuwa hivyo’. Huwezi kujua kwamba sherehe za uhuru ni 9th december unless muwe mmepanga hivyo.Acha upoyoyo Mungu hampangii mtu kufa gesti/ajalini/wala popote pale, bali anayajua ya mbele yako. Tumia ubongo wako vema. Nyie ndio mnatakiwa m-donate..(joke)
Well nadhani ni uvumi basi ukienezwa humu kimakosa. Ila usitarajie polisi waseme kila kitu, au wameshakwambia alipo Ben Saanane?Mbona polisi kwenye taarifa yao hawajasema kama alitolewa figo? Kuna majitu ya ajabu ajabu sana hapa JF