Dar: Waziri wa Habari na michezo, Innocent Lugha Bashungwa atembelea ofisi za JamiiForums

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Bado haijafahamika alichoteta na Mkurugenzi wetu Maxence Melo , bali muda wote wa mazungumzo yao wote walionekana kuwa na nyuso zenye bashasha , jambo lililoashiria amani kutawala .

Mungu ibariki JF

====

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa @innocentbash leo Agosti 26, 2021 ametembelea Ofisi za Jamii Forums JamiiForums jijini Dar

Waziri ameweza kujionea jinsi Taasisi ya Jamii Forums inavyofanya kazi pamoja na kukutana na baadhi ya watendaji wa taasisi yetu

Pamoja na mambo mengine, Waziri amepongeza jitihada za Jamii Forums katika kuelimisha umma juu ya masuala anuai ikiwemo afya ya jamii na hasa Ugonjwa wa UVIKO-19.

​
 
Bado haijafahamika alichoteta na Mkurugenzi wetu Maxence Melo , bali muda wote wa mazungumzo yao wote walionekana kuwa na nyuso zenye bashasha , jambo lililoashiria amani kutawala .

View attachment 1910017

Mungu ibariki JF
Alichokua akiteta naye Ni kumuhusu Erythrocyte maana Ni kada kindakindaki wa CHADEMA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…