Dar: Waziri wa Habari na michezo, Innocent Lugha Bashungwa atembelea ofisi za JamiiForums

CCM ni kama shetani hawatakiwi kuaminika. Usikute wanachonga mchongo wa kuivamia ofisi ameenda kuangalia mazingira. Haya tunayoandika nasikia kiranja wa tozo hayapendi kama yule wa kitovu cha utalii
 
Bado haijafahamika alichoteta na Mkurugenzi wetu Maxence Melo , bali muda wote wa mazungumzo yao wote walionekana kuwa na nyuso zenye bashasha , jambo lililoashiria amani kutawala...
kweli chadema ni vigeugeu!

leo umekuwa msemaji wa bashungwa
 
Viongozi wa juu wa chadema sijawahi kuwaona wameenda JF makao makuu, hongera sana JF kutokuziexpose ofisi zenu na makundi yenye viashiria vya ugaidi.
Hujawahi kuwaona kwani unafanya kazi huko?
 
Maxence Melo usiyaamini maccm Mkuu si watu wazuri hao hata kidogo. Kumbuka walivyokuhenyesha na kukulaza lupango pamoja na kwamba ulikuwa huna hatia yoyote kisha yakakutoza faini ya mamilioni.
Bado haijafahamika alichoteta na Mkurugenzi wetu Maxence Melo , bali muda wote wa mazungumzo yao wote walionekana kuwa na nyuso zenye bashasha , jambo lililoashiria amani kutawala...
 
Maxence Melo usiyaamini maccm Mkuu si watu wazuri hao hata kidogo. Kumbuka walivyokuhenyesha na kukulaza lupango pamoja na kwamba ulikuwa huna hatia yoyote kisha yakakutoza faini ya mamilioni.
Read his body language carefully!
 
Viongozi wa juu wa chadema sijawahi kuwaona wameenda JF makao makuu, hongera sana JF kutokuziexpose ofisi zenu na makundi yenye viashiria vya ugaidi.
Akili za kizaramo tunazijua[emoji1787]
 
Hivi zile kesi za Melo na yule mwenzake zimeisha vipi? Au zimeenda na mwendazake?
 
Back
Top Bottom