Dar: Waziri wa Habari na michezo, Innocent Lugha Bashungwa atembelea ofisi za JamiiForums

Dar: Waziri wa Habari na michezo, Innocent Lugha Bashungwa atembelea ofisi za JamiiForums

1630005973235.png
😎✌️💥
 
Viongozi wa juu wa chadema sijawahi kuwaona wameenda JF makao makuu, hongera sana JF kutokuziexpose ofisi zenu na makundi yenye viashiria vya ugaidi.
Wewe endelea kusaga sumu, ukimaliza, uje humu, usije na chuki zako wala ramli chonganishi. Zaidi ugaidi tena wakutengenezwa/ wakuchochewa upo nyumbani kwenu.
 
Watanzania ni watu wakarimu sana....

Kongole komredi M. Melo kwa kumkaribisha mh. Komredi Bashungwa👊

#NchiKwanza
#MshikamanoKwanza
#SiempreJMT
 
Bado haijafahamika alichoteta na Mkurugenzi wetu Maxence Melo , bali muda wote wa mazungumzo yao wote walionekana kuwa na nyuso zenye bashasha , jambo lililoashiria amani kutawala .

Mungu ibariki JF

====

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa @innocentbash leo Agosti 26, 2021 ametembelea Ofisi za Jamii Forums JamiiForums jijini Dar

Waziri ameweza kujionea jinsi Taasisi ya Jamii Forums inavyofanya kazi pamoja na kukutana na baadhi ya watendaji wa taasisi yetu

Pamoja na mambo mengine, Waziri amepongeza jitihada za Jamii Forums katika kuelimisha umma juu ya masuala anuai ikiwemo afya ya jamii na hasa Ugonjwa wa UVIKO-19
View attachment 1910052View attachment 1910053View attachment 1910054

Nimestuka……
 
Back
Top Bottom