Dar: Waziri wa Habari na michezo, Innocent Lugha Bashungwa atembelea ofisi za JamiiForums

Huku tunatumia majina feki kujenga nchi kwa mawazo. Hutuna haja kujitaftia maslahi binafsi ila kueleza ukweli mtupu na maoni chanya ya kujenga. Jf inatulinda.
 
Bado haijafahamika alichoteta na Mkurugenzi wetu Maxence Melo , bali muda wote wa mazungumzo yao wote walionekana kuwa na nyuso zenye bashasha , jambo lililoashiria amani kutawala...
Hongera sana Mkuu Maxence Melo , this is the beginning of government official recognition.
Ile the JF spirit ya "be the first to know" worked very well hata juzi kwenye hili tukio la Ubalozi wa Ufaransa ni JF ndio wa kwanza kutoa breaking news tangu jamaa akiwa Salender bridge.

Big up Maxence Melo,
Big up wana Jf.

Let's keep up the jf spirit
Long Live JF
P
 
Bado haijafahamika alichoteta na Mkurugenzi wetu Maxence Melo , bali muda wote wa mazungumzo yao wote walionekana kuwa na nyuso zenye bashasha , jambo lililoashiria amani kutawala...
Naona wanakimwaga Cha katerero, wahaya wakikutana wanaongea lugha tatu, neno la Kwanza kihaya la pili kiingereza la mwisho kiswahili. Hayo kwenye sentensi moja.

Rwegoshora nagamba in English nobody alinierewaaaa.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…