Dar yageuka `Sodoma` kwa ngono za wazi hadharani

...tunashukuru kwa taarifa na picha za eneo la tukio Mh mbunge Dr. Ndugulile,ila ukiwa kama mwakilishi umechukua hatua gani zaidi ili kukomesha suala hili katika jimbo lako?...

Ninachoweza kufahamu ni kwamba Mbunge amejitahidi kutambua na kufuatilia tatizo lililopo, lakini tujue kila mtu ana mipaka yake kiutendaji na si kazi ya mbunge kuwashika na kuwashtaki wahalifu.

Baada ya mbunge kutembelea sehemu hiyo na kuchukua picha za maeneo husika zinazoashiria kuwepo kwa matukio hayo sina shaka anawasiliana na vyombo husika kuchukua hatua katika kukabiliana na tatizo hili. Nasisitizi si kazi ya mbunge kuwashika au kuwashtaki wahusika ila kuwasiliana na vyombo husika. Ni mapema mno maana kasema jana tu ametembelea eneo la tukio na tumpe nafasi ya hatua anazozichukua kuwasiliana na vyombo husika.

CC; Dr F. Ndugulile
 
Yaan umenena kwel,na huo ndio ustaharabu then sdhan kama unafaid kula ktk mazngira yale.
 
hao ni polisi kutoka nchi gani? hiyo sare ni kama polisi wa Uganda!!!!
 
Wewe kama kiongozi wa wananchi ulienda pale kupiga picha halafu ukarudi nyumbani kwa mkeo kurelax. Kwani ni kazi yako kupiga picha matukio au ni kazi ya mapaparazi?
Mkuu hapa umeenda kombo kidogo, licha ya kuwa kiongozi wa watu huyu ni memba mwenzetu
humu JF, kwa hiyo kuna wakati anawajibika kama kiongozi na wakati mwingine anawajibika kama
memba, hili alilolifanya ndilo linalostahili humu ndani, hayo ya uongozi anawajibika zaidi huko Temeka
Ahsante Dr F. Ndugulile kwa mchango wako.
 
Last edited by a moderator:
hao ni polisi kutoka nchi gani? hiyo sare ni kama polisi wa Uganda!!!!

Jambo la msingi someni maudhui ya habari inaeleza tukio linatokea wapi na nini jamii ifanye. Picha si rahisi kupata halisi kwa dhana ya kulinda heshima na utu wa wahusika. Picha alizoleta Mbunge wao zinatosha kuleta taswira ya kinachoendelea katika eneo hilo.
 
yaani wabarikiwe wauza kuku wote hutusaidia sana sisi madomo zege.. na mshindwe nyie mnaoponda kwa kuwa mnawaonea wivu.. eboo..
 
Kila kukicha jamii yetu inazidi kupotea na kukosa maadili Mungu tunasuru na hii hali.
 
Hebu vuta picha kwa mfano bao lingekuwa linatoa mlio kama bunduki wakazi wa hapo jiran ingekuwaje? Anyway samahan kw kuingiz utan kwny serious issue kama hii...
 
Mkuu mbona sikusomi katika harakati za kudai Tanganyika? Au umechepuka kama wakunyumba Mwakyembe?
Tofauti na wengi mimi ni mtanganyika lakini nimeamua kukaa kimya mkuu maana suala zima ni kizungu mkuti!
Kuna watu 629 wako Dodoma wakila na kunywa hela zetu kwa suala hilohilo, na walio wengi wanaendeshwa puta na wale wachache.
Mwisho wa siku si tatakuwepo kila mtu na kura yake.!
 

Mkuu hapo ni masa kuu?
 

...Nafahamu kwamba kila mtu ana mipaka yake ya utendaji,kama ilivyo mihimili mikuu ya dola,kwa maana Serikali,Bunge na Mahakama,ila nadhani kupiga tu picha na kuituma tu JF haitoshi,

Nilitegemea Mh. Mbunge aseme kwamba nilipiga picha na kuziwakilisha kwa OCD kwa hatua zaidi na pia tulikutana na viongozi wa kata na wa mtaa na kupanga namna gani ya kukomeshe kabisa vitendo hivi haramu...lakini kuleta picha tu JF pekee yake nadhani haitoshi,ila naamini Mbunge huyu ni mtu makini atakuja ana majibu juu ya hatua zaidi alizozichukua ili kukomesha kabisa uovu huu katika jimbo lake!
 
Bongo land nchi na ardhi vinanuka dhambi kuanzia viongozi hadi walala hoi..!
 
Duh..! kwa picha hizo... kweli watu wanakulana duh..! acha tu mafuriko yatuadhibu, ndo laana zenyewe hizo.
 
Hizi mi naona ni fursa za uwekezaji, kwa hakika tunahitaji madanguro Tanzania na watu walipe kodi.
 
Ok , na kuna mpango gani pale Temeke sudani kwenye danguro la wahaya? Hatua gani mnazichukua? Tena pale uchafu wao wanaanza mapema saa 12 jioni naomba ufuatilie pia na hilo Mh.

wale si wako kwenye magheto yao jamani, sidhani kama itakuwa haki kuwakamata, itakuwa ngumu pasi na shaka kwamba wanajiuza, ukimkamata na mwanamume atakwambia mpenzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…