mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Na unashangilia kutokuwa hewani...,[emoji3][emoji3][emoji3]aisee WATU wa lumumba akili mmemwachia Nani?polepole au?Kesho hatutakuwa hewani[emoji23], wenye porojo zao waziseme haraka maana tukirudi tutapokea nyuzi za malalamiko tu na si vinginevyo.
chakula na
Bado endelea maana kesho mtakuwa hoi na kulia kisa wananchi wamewapa kura finchuuu.. zenu nyie wadokozi wa fedha za Umm. Na bado awamu nyingine na tano tenaZinatosha eti?
Kabisaa.Wacha kabisa😂😂
Jf raha
Sema tukupe no ya William Ruto,atakuelezea kwa ufasaha zaidi kuhusu ICC
Poweeeeeeeeeeeer!!!!
Ban ndo style gani tena hiyo?alafu unataka upigwe kwa miezi sita dah.Jamani kwa hali ilivyo mtaani 🤣🤣🤣🤣🤣MBELGIJI AKIFIKISHA KURA 1.5M NIPIGWE BAN MIEZI SITA
MAGUFULI4LIFE.
Umeandika Nini binti maringo?cheusi mangala...embu rudia kuandika MREMBO....chakula na
Hapo ndio wamekubali kushikishwa na upinzani wasio weza hata kuwanunulia.. aiye andika hayo Mola atamjibu, duniani watu wengi bado wanakufa.. ni kuwa na akii za kutekwa vichwa na mabeberu wasio wajali kabisaaaa..kuandika haya ya ugonjwa.. waufate waupate
We umeona wapi nimeshangilia? Hoja yangu Ni kwamba kama kuna mtu bado alikuwa hajaleta uzi wake hapa hasa ile ya kujifariji kuwa Lissu atashinda aulete hapa kabla ya kesho, maana baada ya kesho tutakuwa busy na nyuzi za malalamishi kutoka ufipa.Na unashangilia kutokuwa hewani...,aisee WATU wa lumumba akili mmemwachia Nani?polepole au?
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Kwa kuwa tayari jamaa ni mteja wa ICC kupitia matukio ya visiwani, HAKUNA shaka
The Hague
Simpi Kura si Kwa sababu ninachuki naye, hapanaa, Bali karudi akiwa amebadilika na haeleweki kabisa kiasi cha kusema, ni dhahili katumwa na amekwisha chukua chake tayari kutufanya kuwa koloni la Mabeberu tena!!
Kwa nini kupoteza Kura yako ewe Mtanzania???
Mpe JPM Kura yako Ili tujenge Taifa lisilotegemezi
Umeandika Nini binti maringo?cheusi mangala...embu rudia kuandika MREMBO....
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app