ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Napita taifa hapa tayari jezi za CCM toka sehemu mbalimbali za jiji wanawasili na mabasi na kuingia uwanja wa uhuru askari pia wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mujahdeenkwakweli,me namuomba madam president abadilishe DPP pia, uyu aliepo ni chanzo cha mlundikano wa cases nying mahakaman ,,, na pia akipenda amteue Pro Mussa Asad kuwa Prime minister au Vice President
Professa Musa Assad ni mwanachama wa CCM?? Ni mbunge wa wapi?? Tumieni akili zenu bhana, sio masaburikwakweli,me namuomba madam president abadilishe DPP pia, uyu aliepo ni chanzo cha mlundikano wa cases nying mahakaman ,,, na pia akipenda amteue Pro Mussa Asad kuwa Prime minister au Vice President
Ndo Kwanza mwanzo ,Hiyo misa tu ya kuaga, kwenye mazishi utawaona wengi tu
Nafuatilia Misa takatifu ya kumwombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Siyo Maaskofu ambao humpeleka mtu peponi, mbinguni bali matendo yake enzi akiwa hai duniani. JPM atajitetea mwenyewe ahera, na pengine ni huko huko atakapokutana na Maaskofu unaowasema hawajafika Kanisa la Mt. Petre.