Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Ameshawasili eneo la tukio. Tutegemee Injili na Neno la Mungu safi lisilogoshiwa.

NB: Nondo zote zipo kwenye hiyo BRIFKESI
IMG_20210320_093927_291.JPG
 
Anaagwa kitaifa Dodoma. Maaskofu utawaona huko au Chato siku ya mazishi. Hii ilikuwa ibada fupi sana.
Ukweli ndiyo huyo. Pia inategemea kama wanaalikwa hasa wa Jimbo Mkuu la Mkoa wa DSM. Maana huyu ni mawazo na ukweli na akienda ni lazima awe barakoa na shield. Anajali afya yake na ndiyo muhimu kwa kila mwanadamu. Popote ulipo Askofu Ruaichi jikinge mno bado tunampenda hata ikiwezekana delegate jukumu kama umealikwa. Huendi kumfufua mwamba wa Covid19 kienyeji zaidi#bupiji, planet++, Nimricaf, covidol, fukiza n.k
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Padre kwa maana ya Paroko au ..!? Maana anayeongoza misa huwa ni mmoja
 
Maneno makali sana mkuu
Sasa huyo ataenda mbinguni? Labda kama hizi hadithi za mbingu ziwe furahisha genge, lakini kama mbingu ipo kama tunavyosimuliwa, huyo mtu muovu haingii.
 
Sasa huyo ataenda mbinguni? Labda kama hizi hadithi za mbingu ziwe furahisha genge, lakini kama mbingu ipo kama tunavyosimuliwa, huyo mtu muovu haingii.
Sikuwa shabiki wa JPM lakini habari za mbingu zina kanuni ngumu kidogo kuzielewa..dakika za mwisho zaweza kubadilisha muelekeo wa maisha yako kwa nyuzi 360. Jifunze kutoka kwa wale wezi wawili pale msalabani waliokuwa pamoja na Masihi.
Nasema hivi jiwe alikuwa mtu muovu hawezi kwenda huko mbinguni, hizo sakraamenti unazijua ww. Hakuna mbingu ya watu waovu, labda akakae kwenye mji wa sakramenti.
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Tulia mkuu, Askofu Mkuu yupo uwanjani.
 
Wasiompenda JPM ni less than 10% ya watanzania, na wengi ni wale Wa kada za viongozi au wale mafisadi na wale wanaotaka madaraka.

Normal Tanzanians wanampenda JPM sana. Ukweli utadhihirika kipindi hiki cha kumuaga.
 
Back
Top Bottom