Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Magufuli John Pombe atakumbukwa daima

Mzalendo wa Tanzania na Shujaa wa dunia, wanaweza wasiseme leo lakini ukweli utabaki kwenye historia ya karne hii na ipo siku utawekwa kwenye maandishi

Pumzika kwa amani mwamba💔😢🙏
 
Ni sawa madam President asiwapige mabomu, risasi, au asiwazuie watu kulia; ni haki yao kwa asili ya binadamu. Itakuwa ajabu sana kama watu watapelekwa Segerea kisa wanaomboleza au kumlilia mpendwa wao. Utamaduni huo wa kishamba yapasa ufikie mwisho!
 
Magufuli John Pombe atakumbukwa daima

Mzalendo wa Tanzania na Shujaa wa dunia, wanaweza wasiseme leo lakini utabaki kwenye historia ya karne hii

Pumzika kwa amani mwamba💔😢🙏
Ngoja akakutane na kina Ben Saanane huko wamkaribishe vizuri!
 
Wenye simu za TBC, Wapigieni wapiga picha wao ageuzie Camera yake mwili unakotokea ichukue picha ya gari LILILOBEBA MWILI wa marehemu. Umati wa waombolezaji pia Wataonekana.

Huyu Mpiga Picha anachukuwa magari mawili tu ya mbele as if mwili au mlengwa wa tukio zima yupo humo ndani ya hayo magari mawili ya mbele.
 
Mtu akishaaga dunia hana alijualo, waliobaki wanatakiwa wazitengeneze njia zao kupitia alietangulia.
 
Back
Top Bottom