Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Nasema hivi jiwe alikuwa mtu muovu hawezi kwenda huko mbinguni, hizo sakraamenti unazijua ww. Hakuna mbingu ya watu waovu, labda akakae kwenye mji wa sakramenti.
Pengine wewe si mkatoliki hivyo sio rahisi kuelewa umuhimu wa huduma na mwisho na namna binadamu anaeza ponyoka Moto hata sekunde ya mwisho kabisa. Habari za mbinguni si mambo ya CCM na Chadema
 
Acheni kulaumu kila kitu, hii ilikuwa ibada fupi. Askofu Ruaichi yupo uwanjani, ataongoza ibada ya uwanja wa taifa.
 
Wasiom
Wasiompenda JPM ni less than 10% ya watanzania, na wengi ni wale Wa kada za viongozi au wale mafisadi na wale wanaotaka madaraka.

Normal Tanzanians wanampenda JPM sana. Ukweli utadhihirika kipindi hiki cha kumuaga.

penda JPM ni less than 10% ya watanzania, na wengi ni wale Wa kada za viongozi au wale mafisadi na wale wanaotaka madaraka.

Normal Tanzanians wanampenda JPM sana. Ukweli utadhihirika kipindi hiki cha kumuaga.
Kwani kumuaga marehemu ni ishara ya kumpenda? Badilikeni.
 
Nyerere aliacha Wosia, Mkapa aliacha kitabu na Magufuli ameacha makaburi...... RIP Azory Gwanda RIP Ben Saanane
😢
😢
😢

Lala milele Dikteta, Usiamke tena
 
Back
Top Bottom