DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Sure, lazima Covd imchape na huu ndio utakuwa Ujinga wa ccmNa akiwa kama meko viburi na jeuri juu ya covid maisha yake si marefu. Corona inaua na inapenda sana wenue viburi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure, lazima Covd imchape na huu ndio utakuwa Ujinga wa ccmNa akiwa kama meko viburi na jeuri juu ya covid maisha yake si marefu. Corona inaua na inapenda sana wenue viburi
Pengine wewe si mkatoliki hivyo sio rahisi kuelewa umuhimu wa huduma na mwisho na namna binadamu anaeza ponyoka Moto hata sekunde ya mwisho kabisa. Habari za mbinguni si mambo ya CCM na ChademaNasema hivi jiwe alikuwa mtu muovu hawezi kwenda huko mbinguni, hizo sakraamenti unazijua ww. Hakuna mbingu ya watu waovu, labda akakae kwenye mji wa sakramenti.
Barakoa kama tatu hivi..safi sanaaAmeshawasili eneo la tukio. Tutegemee Injili na Neno la Mungu safi lisilogoshiwa.
NB: Nondo zote zipo kwenye hiyo BRIFKESIView attachment 1729878
Yote haya ni zao la ukaidi wa marehemu MagufuliKwa kweli. Pale kanisani walivyokuwa wamebanana na hawajavaa barakoa wengi wameondoka na kirusi cha Covid.
Una chuki mbaya bwashee!Itasaidia nini?
Kuwakumbusha manyang'au hayatakaa yapewe nchi.Itasaidia nini?
Kusema itasaidia nini ni chuki we TAGA.Una chuki mbaya bwashee!
Itasaidia nini?
Kwani kumuaga marehemu ni ishara ya kumpenda? Badilikeni.Wasiom
Wasiompenda JPM ni less than 10% ya watanzania, na wengi ni wale Wa kada za viongozi au wale mafisadi na wale wanaotaka madaraka.
Normal Tanzanians wanampenda JPM sana. Ukweli utadhihirika kipindi hiki cha kumuaga.penda JPM ni less than 10% ya watanzania, na wengi ni wale Wa kada za viongozi au wale mafisadi na wale wanaotaka madaraka.Wasiompenda JPM ni less than 10% ya watanzania, na wengi ni wale Wa kada za viongozi au wale mafisadi na wale wanaotaka madaraka.
Normal Tanzanians wanampenda JPM sana. Ukweli utadhihirika kipindi hiki cha kumuaga.
Normal Tanzanians wanampenda JPM sana. Ukweli utadhihirika kipindi hiki cha kumuaga.
Quinine ni kati ya watu ambao wamefurahi ajabuUna chuki mbaya bwashee!