Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Hata jiwe alikuwa mbishi kama wewe, na hiki kitu ndicho kimesababisha kukutanisha watu wengi sana hapo uwanja wa Taifa.
Kuaga dunia nzima inaona kuwa propaganda za Lisu na Chadema uongo na utapeli.Lisu alitoka ubelgiji akiwa kavaa barakoa na kutangaza kuwa Corona ipo Tanzania alipofika Airport barakoa akaitupa chooni miezi yote mitatu ya kampeni hakuvaa

Usidhani wazungu wajinga ukiwatapeli mara moja hawarudii kosa

Ndio maana Lisu alikosa pesa za wafadhili za kulipia mabango ya kampeni au vipeperushi wazungu wakamjua Kuwa Lisu tapeli na mwizi na Amsterdam wake wakagoma kutoa pesa hata za matangazo ya photocopy ya kampeni ya kubandika kwenye miti!!! Kuwa anasema ohhh kuna Corona anafika airport anatupa barakoa haivai hadi siku ya kurudi tena Ubelgiji Wazungu sio wajinga huwezi waibia kiboya hivyo
 
Subiria matokeo ya UJINGA aliofanya leo. Yani kuna siku tu mtajikuta mnachukua tahadhari bila hata kusukumwa. Watanzania kwa awamu hii tumekuwa watu wa ajabu sana.
 
Swali ni je wataruhusiwa maana wakati wa mkapa walifungiwa nje hawakuruhusiwa kuingia
 
Mbunge wa Ruangwa ni nan?

Nimekuuliza alichaguliwa na mpiga kura yupi kutoka huko Ruangwa?

Alipata kura ngapi dhidi ya mpinzani wake?

Katiba ya JMT inasemaje kuhusu sifa/vigezo vya mtu kuwa Waziri Mkuu?

Jibu kwa hoja.
 


Hivi kichwani kwako kupo Sawa kweli?

Swali langu na majibu uliyoyatoa mbona kama haviendani?
 
Nimekuuliza alichagulia na mpiga kura yupi huko Ruangwa?

Alipata kura ngapi dhidi ya mpinzani wake?

Jibu kwa hoja.
Hoja yangu ni kuwa,

Waziri mkuu anatakiwa kuwa ni mbunge ambae anawakilisha jimbo.

Haijarishi amepigiwa kura au amepita bila kupingwa.
 
Kuna vitu vingine unatamani iwe ndoto.
Nenda magu.[emoji20][emoji20][emoji20]
 
Subiria matokeo ya UJINGA aliofanya leo. Yani kuna siku tu mtajikuta mnachukua tahadhari bila hata kusukumwa. Watanzania kwa awamu hii tumekuwa watu wa ajabu sana.
Ninachojua ni kusubiri ripoti ya Dk Kitima katibu mkuu wa baraza la Maaaskofu katoliki Tanzania kuwa maaskofu na mapadre na masista wangapi wamekufa kwa Corona kwa kipindi cha miezi mingapi.Mitaani kuko poa ila huko miparokiani mnaambukizana korona sana hasa mapadre na Masisita sababu kutwa mko Vatican Italia kwenye Corona
 
Muache haiage nchi ya ndoto zake.
Kwa mara ya mwisho.
Mjue ndo arudi tena hyo.IMETOKA IMEBAKI STORY HATUTAMUONA TENAAAAA.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mzee kapata tabu sana badala ya kupumzika sasa anazungushwa zungushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…