YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
- Thread starter
- #401
Kuaga dunia nzima inaona kuwa propaganda za Lisu na Chadema uongo na utapeli.Lisu alitoka ubelgiji akiwa kavaa barakoa na kutangaza kuwa Corona ipo Tanzania alipofika Airport barakoa akaitupa chooni miezi yote mitatu ya kampeni hakuvaaHata jiwe alikuwa mbishi kama wewe, na hiki kitu ndicho kimesababisha kukutanisha watu wengi sana hapo uwanja wa Taifa.
Usidhani wazungu wajinga ukiwatapeli mara moja hawarudii kosa
Ndio maana Lisu alikosa pesa za wafadhili za kulipia mabango ya kampeni au vipeperushi wazungu wakamjua Kuwa Lisu tapeli na mwizi na Amsterdam wake wakagoma kutoa pesa hata za matangazo ya photocopy ya kampeni ya kubandika kwenye miti!!! Kuwa anasema ohhh kuna Corona anafika airport anatupa barakoa haivai hadi siku ya kurudi tena Ubelgiji Wazungu sio wajinga huwezi waibia kiboya hivyo