Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

wapo wengi tu ila wadogo sana wana wazazi wao
Nadhani wazazi au walezi kwenda na watoto wadogo kwenye mkusanyiko mkubwa kama huu ni kukosa busara.Watoto wangeweza kuachwa nyumbani waangalie through TV.Kwa hali hii ya COVID 19 hata watu wazima wangeshauriwa wengine wabaki nyumbani waangalie through TV ili kuepusha matatizo yasiyo na ulazima.
 
Bure kabisa
 
Huu no unywanywa
 
Acha tukamuage baba yetu, mengine muachieni Mungu lolote ataloamua tutapokea.
 
Reactions: NFL
Wasiompenda JPM ni less than 10% ya watanzania, na wengi ni wale Wa kada za viongozi au wale mafisadi na wale wanaotaka madaraka.

Normal Tanzanians wanampenda JPM sana. Ukweli utadhihirika kipindi hiki cha kumuaga.
Hii umepima kwa utafiti wa watu wanaoenda kuaga au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…