Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Magufuli John Pombe atakumbukwa daima

Mzalendo wa Tanzania na Shujaa wa dunia, wanaweza wasiseme leo lakini ukweli utabaki kwenye historia ya karne hii na ipo siku utawekwa kwenye maandishi

Pumzika kwa amani mwamba[emoji174][emoji22][emoji120]
[emoji106]
 
Yah iko hivyo mkuu watakuwa nae mpka ile sku atakayozikwa ndo wataachana nae hicho ndo kiapo ndo maana hata ADC wake unaona mda ote yupo nyuma ya jeneza na hata gari wanapanda moja hilo hilo kama mwanzo.

Na kila kitu atakachofanyiwa maiti lazima kipitie kwake kuanzia kupambwa nk.na atakuwa anatoa heshima zote kama saluti akishuka na akipanda gari kama alivyokuwa akifanya akiwa hai.

Hata huyo wanayesema amekufa nadhani kwa wenye macho wamemuona leo akiwa pembeni ya mwili kama alivyokuwa pembeni akiwa hai.

Mwisho ni majukum,wengi wamekuwa wakibeza kuwa hawa jamaa ndo washakosa kazi,ila kiuhalisia pale kuna wanajeshi ambao wako ngazi za juu rank kuanzia captain jeshini kwenda juu,hivyo wakimzika tu.hapo hapo wanapewa majukum mengine na zaidi hupewa uongozi ndani ya vikosi vya ulinzi wa viongozi sababu wanakuwa na uzoefu viapo na siri kubwa za nchi.
Kwa leo niishie hapo

Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app
Ila hii team ya ulinzi wa Magufuli ningetamani niendelee kuiona, jamaa wapo makini sana.

Kuna yule mwembamba yupo serious muda wote kazi yake kuzuia waliokuwa wanampa mkono Magufuli, ukitoa mkono hovyo hata kama ni waziri anaubinya na hutakaa urudie tena
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Chandimu bwana! Ila kumbukeni ccm ni ile ile! Yaani nyie hamuwezi kushinda uchaguzi, labda mshinde njaa, maana mnadandia sana mambo na hmna hoja!
 
we uliyosoma Vipi tena mbn Hujui kuandika hebu Pitia hayo majina Uliyo yaandika Kama ni sahh
Hauko makin bro unawenge na chuki zakipumbavu pevuka kuwa mtu Mzima utajua maana ya maisha ya dunia hii Uki nijibu ni we pimbi usipo nijibu umeniogopa
Haka kamchezo hakahtaj hasira calm down
Azory Gwanda, Kanguye, Akwilini Akwilini.

Mwambie Chuma aendelee kubweka Live TBC
 
Ila hii team ya ulinzi wa Magufuli ningetamani niendelee kuiona, jamaa wapo makini sana.

Kuna yule mwembamba yupo serious muda wote kazi yake kuzuia waliokuwa wanampa mkono Magufuli, ukitoa mkono hovyo hata kama ni waziri anaubinya na hutakaa urudie tena
Wengi wao utawaona japo kuna uwezekano ikawa syo kwa ukaribu zaidi kama walivyokuwa na magufuli

Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app
 
Ageni mpendwa wenu. Tulioumizwa nae tuna hangover tunaenda kuzimua mapema maana mama katoa mapumzika jumatatu.

Kubwa zaidi tarehe 25 nayo tumepewa ni siku ya bia.

Tumenyanyaswa sana yaani.

Waachieni wanaoshikiliwa magerezani haraka wakazione familia zao
akili za utopolo utazijua tu
 
kwakweli,me namuomba madam president abadilishe DPP pia, uyu aliepo ni chanzo cha mlundikano wa cases nying mahakaman ,,, na pia akipenda amteue Pro Mussa Asad kuwa Prime minister au Vice President
Ukiwa jizi lazima umchukie DPP.
 
Ila Mkuu nasikia JASIRI MUONGOZAJI amechaguliwa kuwa KIONGOZI WA MALAIKA NA WATAKATIFU WOTEE hivi kuna ukweli hapo MATAGA na CHATO au mko na Taarifa yoyote juu ya Huyu aliekua KAYAFA?
Ndugu yangu kejeli kwa marehemu si nzuri. Kumbuka hapa duniani hakuna mkamilifu ukiwemo na wewe na Mimi pia. Hebu tujifunze kuheshimu marehemu tafadhari, hukumu tumuachie Mwenye mamlaka hiyo, naye si mwingine awaye yote, Bali Ni Mwenyezi Mungu tu.
 
Mimi hata nisipoenda huko mbinguni kama kuko sina tatizo maana sijifanyi mcha Mungu.
Dogo, acha hizo! Tumuombe Mungu aipokee roho ya jemedari na shujaa wetu mpendwa Mh Dr JPM apewe siti ya exective mbinguni kwenye raha na amani ya milele! Who know, unaweza nawe ukaangaliwa upate hata kigoda cha kukalia!
 
Nimefurahi sana kumuona baba yangu Kardinali Pengo uwanjani yuko fit mzima wa afya na hana barakoa
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.

HILI NDO TATIZO KUBWA LA WAtz. Ujuaji. Haya Nenda kaombe ratiba. Misa inaendelea Sasa. Nani KIONGOZI. Rudi Sasa omba radhi kwa kukurupuka.
 
Back
Top Bottom