Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Kwa akili hizi sidhan kama taifa tutatoboa.. tutabaki wakujilinganisha kila siku

Tutafika mkuu. Watu wote hatuwezi kuwaza sawa! Hata Yesu na Mtume Muhammad, waliuawa! Leo hii wanafuatwa na kuchukiwa na mabilioni ya watu!!

Sioni mantiki yako ya kutaka watu wote wawe kama unavowaza!
 
kwan una msaada gan kwangu? we ni marehem mtarajiwa lakini unavoropoka kama unampangia Mungu vile
Wewe ni mjinga tu kati ya wajinga wenzako na huna lolote unanipotezea muda, take your time.
 
Ndugu yangu kejeli kwa marehemu si nzuri. Kumbuka hapa duniani hakuna mkamilifu ukiwemo na wewe na Mimi pia. Hebu tujifunze kuheshimu marehemu tafadhari, hukumu tumuachie Mwenye mamlaka hiyo, naye si mwingine awaye yote, Bali Ni Mwenyezi Mungu tu.
Tusimwachie tu ahukumu bali tumfikishie maombi yetu ya rehema juu ya jemedari wetu mpendwa Mh Dr JPM! Ili apumzishwe ktk raha ya milele, amen!
 
Tuko uhuru hapa kuna misa takatifu na Ruwaichi ndo anaongoza. Pale tulipita tu kusalimia kanisani alipokupenda hayati Pombe
 
kwakweli,me namuomba madam president abadilishe DPP pia, uyu aliepo ni chanzo cha mlundikano wa cases nying mahakaman ,,, na pia akipenda amteue Pro Mussa Asad kuwa Prime minister au Vice President
Ona sasa mnataka avunje katiba! Mtu akishakuwa CAG hapaswi kushika nafasi yoyote katika utumishi wa uma...
 
Watakuepo chato kwenye Misa ya mazishi,Ila hapo angalu Ruwachi angekuepo

Yuda Iskarioti Ruwa'ichi ni kama tu yule Yuda mwenyewe, asubuhi asubuhi kakimbilia Taifa na barakoa yake gubi![emoji40]
 
Hongereni sana mapadri mnaoongoza sala ya kumuaga hayati Dr magufuli kwa kuonyesha ulimwengu kwa kuvaa BARAKOA.Ningeomba watanzania wote wawaige ili kuepusha maangamizi ya hili gonjwa hatari covid 19 corona.
 
Back
Top Bottom