Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Niwaalike wote tuungane Twende tukaone Mwili wa Aliyekuwa Rais wetu.

Leo ndio siku yetu kwa Dar.

Machinga. Mama ntilie kwa mikoa ya pwani na viunga vyake twendeni.
Rais aliye tamani kila mtu awe mnyonge maskini
 
You guys need to be cautious when you follow the Masses. Often "M" is missing or very silent!

Kumbukeni Covid-19 ipo... Na inaibua magonjwa nyemelezi!

So hata kama mmesombwa na kulipiwa nauli au mafuta kama kipindi cha kampeni hakikisheni mmoja mmoja mnachukua tahadhari na kujilinda!!
You guys need to be cautious when you follow the Masses. Often "M" is missing....[emoji848][emoji3064][emoji2827]
 
Ukapumzike ulipojiandalia mwamba, kusema ukweli sijawahi kukukubali ktk uongozi wako na binafsi haukuwa rais wangu.
Asante kwakumpa thamani yake,yes ni MWAMBA nashukuru kwakulitambua hilo,Mengine ni yako wakuja...
 
Mc uwanja wa taifa acha kelele na miziki tunataka tusikie kelele za waombolezaji sio kelele zako na za miziki

Watu wanataka kusikia waombolezaji na vilio vyao wakiaga gari inapopita unavifunika na kelele na miziki yako
 
Wamekata umeme mtaani sijui hawafaham kama tunatazama laivu!?
 
Taifa wanaondoka muda huu. Angalia youtube tbconline
 
giphy-3.gif

Fedha zinarejea kwenye mzunguko Furaha inarejea Tanzania.
 
Back
Top Bottom