Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahari haiko Tanzania pekee, je mto ruvu?Acheni kuleta uzushi usio na maana, Bahari haiko Tanzania peke yake, Bahari inatoka mbali, Chochote kinaweza kuwa.
Mkuu tunazungumzia bahari. Wewe ndio unaleta habari za mto Ruvu.Bahari haiko Tanzania pekee, je mto ruvu?
nafight with my weather[emoji23][emoji23]
Safi mkuu, sasa maiti kama saba zimeokotwa hivi karibuni Zanzibar na zote zimefungwa kwenye viroba. Tanzania mwambao wetu ni mrefu anzia kilwa hadi tanga, kama zimetoka nje ya tanzania zisionekane kote huko?Mkuu tunazungumzia bahari. Wewe ndio unaleta habari za mto Ruvu.
NEY WAMITEGO. WAPOOOOOOOOOO!Hivi akili zenu mmeshikiwa na nani? Wewe binafsi kuwa mkweli na nafsi yako, umepotelewa na nani? au nani kalalmika kuwa amepotelewa/ watu 15 sio kidogo, wangapi hapa JF wanafahamu waliopotelewa zaidi ya Propaganda ya Ben Saanane?
Mkuu hakuna uhai usio na thamani wote tunahuzunika, lakini tusiwe wepesi wa kulaumu, tuwe na uhakika wa kila tunachokisema, lakini pia tuombe serikali isaidie upatikanaji wa taarifa sahihi badala ya kuoanisha na tofauti zetu za kisiasa, au kuona kama kuna mauaji yanaendelea,Kati yetu akipotea mtu huwezi kutojua. Tusitiane hofu zisizo na ukweli.Safi mkuu, sasa maiti kama saba zimeokotwa hivi karibuni Zanzibar na zote zimefungwa kwenye viroba. Tanzania mwambao wetu ni mrefu anzia kilwa hadi tanga, kama zimetoka nje ya tanzania zisionekane kote huko?
nafight with my weather[emoji23][emoji23]
Mkuu hakuna uhai usio na thamani wote tunahuzunika, lakini tusiwe wepesi wa kulaumu, tuwe na uhakika wa kila tunachokisema, lakini pia tuombe serikali isaidie upatikanaji wa taarifa sahihi badala ya kuoanisha na tofauti zetu za kisiasa, au kuona kama kuna mauaji yanaendelea,Kati yetu akipotea mtu huwezi kutojua. Tusitiane hofu zisizo na ukweli
Mbona round hii miili mingi inapatikana kwenye viroba
OvA
Mkuu ndugu yako akifa huwezi pata taarifa?Kijijini kwenu akifa hata usiyemjua taarifa zinasambaa, sembuse ndugu yako? Jamani tuache kujengana hofu, Ni kweli Tanzania ni kubwa mbona kila kinachotokea taarifa zinafika kila kona? Tuache kueneza hofu, Tuiombe serikali isaidie kupata taarifa sahihi.Tanzania ni kubwa ndugu, tuna ndugu zetu wengine ambao wako maeneo ya mbali na ni miaka mingi hatujawahi kuonana nao na wala hatuna mawasiliano nao, kwanini tusiwe na hofu? Kiroba cha leo kina mwili hujui wa nani je kiroba kinachofuatia, hofu lazima iwepo.[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
nafight with my weather[emoji23][emoji23]
Mkuu ndugu yako akifa huwezi pata taarifa?Kijijini kwenu akifa hata usiyemjua taarifa zinasambaa, sembuse ndugu yako? Jamani tuache kujengana hofu, Ni kweli Tanzania ni kubwa mbona kila kinachotokea taarifa zinafika kila kona? Tuache kueneza hofu, Tuiombe serikali isaidie kupata taarifa sahihi
Inahuzunisha waambie hata wahamiaji haramu ni binadamu. Inakatisha tamaa kiongozi wa polisi au serikali kujitetea kwa kusema eti ni wahamiaji haramu. Raia pia tujilinde kwa namna yoyote ile.Zile nyingine zilisemwa ni wahamiaji haramu.