Daraja kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo limefungwa

Daraja kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo limefungwa

Ujenzi wao huwa hautegemei Mvua ikinyesha kidogo unaona makosa Nchi ngumu sana hii...
Naona ishafunguliwa watu wanapita

Jana kuna mtu alikwama nkampa ramani ya kuitafuta old bagamoyo Road unatokea mpaka kialaka
Ukimsikia rc nikama alikuwa anawazjngusha watu sjui wapitie chalinze mara wapi [emoji1]
Kweli nmeamini bado watu wengi geography ya tz hawaijui

Ova
 
Mara nyingi natoa mifano ya Afrika kama Chirundu bridge lililotengenezwa na wakina Dr Livingstone au Beit Bridge la SA huko German wana vitu imara sana aisee hawatengenezi kwa ajili ya leo wanatengeneza kwa ajili ya vizazi vijavyo sijui pirate au kwenye miji midogo kama happy city utabaki kushangaa tuu wakati sisu tuna miji mikubwa ila ni style ya hovyo hovyo tuu..
Huko mavijijini maporini tu unakutana na daraja la mjerumani mpk leo ipo tu
Wajenzi wetu sahvi uchakachuaji mwingi

Ova
 
Inategemea, Saa nyingine design aikufanyika vizuri. Hii pia inatokana pia kama investigation to know the underlying materials ilifanyika na mtu anayejua. Hiyo sehemu kama sikosei underlying material is alluvial soil which normally is very soft or very loose and require friction piles to go a bit deeper depth to support the bridge. Sasa kama hayo hayakufanyika na watu wanaojua basi kunaweza kukatokea settlement ya daraja na uharibifu mwingine.
Uwizi tu ,wanaminya materials

Ova
 
Tena salender ndio kabisa, zinanyesha el Nino na bado mzigo unadunda japo wa zama za mawe za kati huko

Ila sasa hawa wenzetu wa karne ya 21 sijui wanafeli wapi?[emoji23]
Wezi tu hawa wa sahvi

Wakijenga hiyo fire to magomeni

Wampe mjerumani au mjapani

Mchina tatizo Ana honga sana hela

Na kulipuwa kazi haoni hasara

Ova
 
Mara nyingi natoa mifano ya Afrika kama Chirundu bridge lililotengenezwa na wakina Dr Livingstone au Beit Bridge la SA huko German wana vitu imara sana aisee hawatengenezi kwa ajili ya leo wanatengeneza kwa ajili ya vizazi vijavyo sijui pirate au kwenye miji midogo kama happy city utabaki kushangaa tuu wakati sisu tuna miji mikubwa ila ni style ya hovyo hovyo tuu..
Unazungumzia Chirundu lile la zamani? Au jipya kuna hili jipya lina bango linalosomeka "Gift from Japan"

Lile la zamani bado linapitika? Last time niliachwa na bus upande wa Zambia, jamaa wakaniambia nisihofu ntalikuta basi mbele ilibidi nitembee kwa kupita juu ya daraja (jipya) Aisee moyoni nilikuwa nasema huu ni utalii mujarabu kabisa.

Ukifka mwisho wa daraja unakutana na soldiers wa upande wa Zimbabwe na vyuma vyao uzuri wako friendly unawapungia mkono unapita zako.. sasa kuna ile minyani wenyewe wanasema eti nyani wa Mugabe [emoji1787][emoji1787]
 
Salender Bridge mpaka leo ipo tu

Ujenzi ukijengwa na mtanzania kuhusu uimara sahau,ikitokea jambo
Kisingizio wanacho cha mvua

Na sahvi zile daraja na barabara walizojenga kiupigaji na utapeli
Zote zinaumbukaa kutokana na mambo ya mvua

Ova
Achaa inyeshee tuone panapo Vuja!!
 
Salender Bridge mpaka leo ipo tu

Ujenzi ukijengwa na mtanzania kuhusu uimara sahau,ikitokea jambo
Kisingizio wanacho cha mvua

Na sahvi zile daraja na barabara walizojenga kiupigaji na utapeli
Zote zinaumbukaa kutokana na mambo ya mvua

Ova
Nipo Machakani huku, kuna daraja zilijengwa na mkoloni Mjerumani mpaka Leo Zipo na njia inatumika daily na maroli yanayobeba tani 20 na zaidi na ni full time ni mwendo wa maroli tu kupishana lakini hakuna hata dalili yatavunjika lini na kuna mvua za kufa mtu.
 
Unazungumzia Chirundu lile la zamani? Au jipya kuna hili jipya lina bango linalosomeka "Gift from Japan"

Lile la zamani bado linapitika? Last time niliachwa na bus upande wa Zambia, jamaa wakaniambia nisihofu ntalikuta basi mbele ilibidi nitembee kwa kupita juu ya daraja (jipya) Aisee moyoni nilikuwa nasema huu ni utalii mujarabu kabisa.

Ukifka mwisho wa daraja unakutana na soldiers wa upande wa Zimbabwe na vyuma vyao uzuri wako friendly unawapungia mkono unapita zako.. sasa kuna ile minyani wenyewe wanasema eti nyani wa Mugabe [emoji1787][emoji1787]
Nazungumzia lile la waya la zamani lilijengwa miaka hiyo Wakoloni wanaichunguza Afrika...
 
Hili darja, recently linakarabatiwa na mkandarasi anaitwa MBARALI WOMEN GROUP mkimaliza kucheka tuendelee hapa chini

Months before kuliwekwa kifusi cha kutosha kama kingo za mto kabla ya kufikia daraja mpka kwenye daraja, kwamba elnino ikija wanayosogeza maji katikati ya daraja na kuepusha mafuriko kwa wakazi waliopo pembeni ya mto

HUWEZI KUAMINI kuwa siku chache zilizopita waliondoa vifusi vyote wakati mvua zikiendelea kunyesha, kwamba tippers zilikuwa zinaenda kubeba kile kifuai kukiondoa

Jana likatokea hili, haihitaji akili ya ziada kujua huu MCHONGO, tafadhali PCCB wachunguze
 
TANROADS malizieni kuweka lami kwenye sehemu ya daraja iliyoharibikaaa, pale kwa kifusi mlichoshindilia na kuacha vile mwawasababishia ajali hata wasiokuwa na kosa
 
TANROADS malizieni kuweka lami kwenye sehemu ya daraja iliyoharibikaaa, pale kwa kifusi mlichoshindilia na kuacha vile mwawasababishia ajali hata wasiokuwa na kosa
Wako mahali wanamalizia supu na kuzimua bia 1,2 ,wakirudi watapiitia
Mchango wako waone wanaufanyia vp kazi [emoji1]

Ova
 
Back
Top Bottom