Naona ishafunguliwa watu wanapitaUjenzi wao huwa hautegemei Mvua ikinyesha kidogo unaona makosa Nchi ngumu sana hii...
Huko mavijijini maporini tu unakutana na daraja la mjerumani mpk leo ipo tuMara nyingi natoa mifano ya Afrika kama Chirundu bridge lililotengenezwa na wakina Dr Livingstone au Beit Bridge la SA huko German wana vitu imara sana aisee hawatengenezi kwa ajili ya leo wanatengeneza kwa ajili ya vizazi vijavyo sijui pirate au kwenye miji midogo kama happy city utabaki kushangaa tuu wakati sisu tuna miji mikubwa ila ni style ya hovyo hovyo tuu..
Uwizi tu ,wanaminya materialsInategemea, Saa nyingine design aikufanyika vizuri. Hii pia inatokana pia kama investigation to know the underlying materials ilifanyika na mtu anayejua. Hiyo sehemu kama sikosei underlying material is alluvial soil which normally is very soft or very loose and require friction piles to go a bit deeper depth to support the bridge. Sasa kama hayo hayakufanyika na watu wanaojua basi kunaweza kukatokea settlement ya daraja na uharibifu mwingine.
Wezi tu hawa wa sahviTena salender ndio kabisa, zinanyesha el Nino na bado mzigo unadunda japo wa zama za mawe za kati huko
Ila sasa hawa wenzetu wa karne ya 21 sijui wanafeli wapi?[emoji23]
Unazungumzia Chirundu lile la zamani? Au jipya kuna hili jipya lina bango linalosomeka "Gift from Japan"Mara nyingi natoa mifano ya Afrika kama Chirundu bridge lililotengenezwa na wakina Dr Livingstone au Beit Bridge la SA huko German wana vitu imara sana aisee hawatengenezi kwa ajili ya leo wanatengeneza kwa ajili ya vizazi vijavyo sijui pirate au kwenye miji midogo kama happy city utabaki kushangaa tuu wakati sisu tuna miji mikubwa ila ni style ya hovyo hovyo tuu..
Tatizo budget mlimpunja baada ya nyinyi kujikatia kipande cha [emoji512] Cake!!Kamata Mainjinia wa Tanroads weka jela.
Achaa inyeshee tuone panapo Vuja!!Salender Bridge mpaka leo ipo tu
Ujenzi ukijengwa na mtanzania kuhusu uimara sahau,ikitokea jambo
Kisingizio wanacho cha mvua
Na sahvi zile daraja na barabara walizojenga kiupigaji na utapeli
Zote zinaumbukaa kutokana na mambo ya mvua
Ova
Nipo Machakani huku, kuna daraja zilijengwa na mkoloni Mjerumani mpaka Leo Zipo na njia inatumika daily na maroli yanayobeba tani 20 na zaidi na ni full time ni mwendo wa maroli tu kupishana lakini hakuna hata dalili yatavunjika lini na kuna mvua za kufa mtu.Salender Bridge mpaka leo ipo tu
Ujenzi ukijengwa na mtanzania kuhusu uimara sahau,ikitokea jambo
Kisingizio wanacho cha mvua
Na sahvi zile daraja na barabara walizojenga kiupigaji na utapeli
Zote zinaumbukaa kutokana na mambo ya mvua
Ova
Nazungumzia lile la waya la zamani lilijengwa miaka hiyo Wakoloni wanaichunguza Afrika...Unazungumzia Chirundu lile la zamani? Au jipya kuna hili jipya lina bango linalosomeka "Gift from Japan"
Lile la zamani bado linapitika? Last time niliachwa na bus upande wa Zambia, jamaa wakaniambia nisihofu ntalikuta basi mbele ilibidi nitembee kwa kupita juu ya daraja (jipya) Aisee moyoni nilikuwa nasema huu ni utalii mujarabu kabisa.
Ukifka mwisho wa daraja unakutana na soldiers wa upande wa Zimbabwe na vyuma vyao uzuri wako friendly unawapungia mkono unapita zako.. sasa kuna ile minyani wenyewe wanasema eti nyani wa Mugabe [emoji1787][emoji1787]
Wako mahali wanamalizia supu na kuzimua bia 1,2 ,wakirudi watapiitiaTANROADS malizieni kuweka lami kwenye sehemu ya daraja iliyoharibikaaa, pale kwa kifusi mlichoshindilia na kuacha vile mwawasababishia ajali hata wasiokuwa na kosa